Msaada: YouTube Video Recommendation

Msaada: YouTube Video Recommendation

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,360
Reaction score
11,584
Hello,

Nina kazi zangu za kisanaa, ziko uploaded on YouTube lakini hazikuwafikia watu wengi. Nahitaji ziwe recommended kwa Mtanzania yeyote anayeingia kwenye App. Nifanye nini ili hizi videos ziwe recommended? Na je nifanye nini ili ziwafikie mabilioni ya watanzania?
 
Hello,
Nina kazi zangu za kisanaa, ziko uploaded on YouTube lakini hazikuwafikia watu wengi. Nahitaji ziwe recommended kwa mtanzania yeyote anayeingia kwenye app. Nifanye nini ili hizi videos ziwe recommended? Na je nifanye nini ili ziwafikie mabilioni ya watanzania?

Mods nilindieni uzi, msiufutilie mbali
NICHEKI 0712321736
 
Hapana mkuu, channel yangu bado changa. Ndo kwanza ina wiki tatu. Ila ina videos 2 zenye kama views 20 kila moja. Nahitaji kuzisukuma hata kwa gharama yoyote mkuu

Msaada tafadhari
Poa. Kuna njia nyingi ila mtu akikuita chamber kuwa makini. Unaweza kujaziwa viewers wa Ukraine wa mchongo kwa kulipia.

Ngoja waje wataalam. Ila ushauri wangu fuata utaratibu wa kukua kidogokidogo.

Pia soma sana vitabu na angalia tutorials nyingi zinazofundisha namna ya kucheza na youtube alogarisms. Utatumia nguvu kubwa mwanzoni na mwisho utahitaji nguvu ndogo.
Ingekuwa ni chanel ya kiingereza ningekushauri utumie app ya Vidiq inasaidia. Ngoja tusubiri wataalm zaidi
 
Shukhrani mkuu
 
Kuna uzi humu wa una heading "Youtubers tukutane hapa " kama sikosei ,ukiupata huo utakuta madini mengi kuhusu Youtube .
 
Back
Top Bottom