Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,283
- 2,590
Kampuni ya apple inayofanya vizuri kwenye uuzaji wa simu zao. kuanzia mwaka 2008 ilikua na app 500 kwenye soko la app store mpaka kufikia app zaidi ya milioni mbili sasa.
Ukingia kwenye soko la app store ukiwa unataka kupakua app yoyote Kuna password wanakudai kila mara unapotaka kupakua app au kufanya update najua watu wengi hawapendi hii kitu.
Najua password hutumika kuweza kuongeza ulinzi na kufanya data au taarifa zilizopo ndani ya simu au kifaa Chochote kuwa salama. Kuanzia kwenye kununua bidhaa mtandaoni, kulipia app, kufanya huduma za kibenki nk.
Je hupendi kuweka password kila mara unapotaka kupakua app Toka soko la app store yani kila unapotaka kudownload kitu Toka app store sio lazima uweke password ndo Upakue.
Fanya hivi ingia setting kwenye iphone Yako Kisha ingia kwenye Apple Id( ambapo utaona jina lako) Kisha ingia kwenye>> media & purchase au itunes & app store >>password setting >> require password weka Off.
Ukimaliza utaweza kupakua program yoyote kwenye app store bila kuweka password yako.