Satellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires...
Niko huku mkoani Songwe Mbozi,naomba msaada kwa anaewajua mafundi wazuri wa mafridge huku tafadhali.
Fridge halipozi kabisa.Kuna fundi njaa alikuja kadai ni gesi imeisha,kajifanya kujaza lakini...
Habarini,
Naomba msaada najaribu kujisajili kwenye mfumo wa rrims wa latra lakin mahali napohitajik kuweka namba ya nida nikiweka inakataa je ni mtandao au kuna tatizo la kiufundi zaidi.
Kumbe kuna friji ni hadi mvua inyeshe ndio inagandisha vizuri na kupooza.
Hapa nimekuja kujua hili kwamba kuna friji zinafanya kazi kukiwa na mvua tu au baridi ndio linagandisha na kupooza...
Habari Wanajamvi,Awali ya yote niwatakie maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka.Ishu yangu mimi ni hii!!! nawezaje kutumia screen mbili kwenye kompyuta moja? Yaani,wakati nimefanya kazi flani ktk...
Habari za jioni wakuuu nina mashine photocopier aina ya CANON 2520 IMAGE RUNNER (2014) nataka kuiunganisha na computer ili niwe na print na kuscan moja kwa moja nimejaribu kutumia CD walizonipa...
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania.
Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload...
Habari WanaJF naamini Kuna maProfessional wa kupiga picha na kutengeneza passport humu ndani.
Mara nyingi unajikuta ukitengeneza passport inatoka vizuri lakini kichwa kinakuwa slightly or totally...
CODING
Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile...
Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...
Nimewahi sikia inawezekana kutazama...
Kuna site nimeingia ikiwa na matangazo ya kujinasibu kuwa tuna update free driver to your Laptop.Nikaona acha nifaidike na huduma ya bure.Baada ya kudawnload na kufanya installation na kuelekea...