Who said nataka kutengeneza cha kwangu na kuhujumu uchumi?Unatafuta kifungo kijana! Hivi vitabu vya mauzo huwa vinasajiliwa na TRA na kunakiri serial namba ya kila leaflet! Sasa wewe unataka kujitengenezea cha kwako ili serikali ikose mapato? Hili ni kosa la uhujumu uchumi na halina dhamana
Really illustratorAdobe illustrator
Corel Draw
Tumia hizo utaweza kutengeneza kwa urahisi zaidi vitabu vya risiti kuliko MS word.
YesReally illustrator
Ukiona haiwezekani jitahidi kujifunza zaidi capability ya hizo softwares.Really illustrator
Hv mkuu kwa mfano hako katiket pichan kanawez kuwa na square size ipiHii nilitumia coreldraw kitambo kidogo.
Niliwahi kufanya hii biashara ya vitabu vya risiti kwa muda mfupi sana nikatemana nayo.
Hata hizo serial numbers una generate kwenye software huitaji numbering stamp.
View attachment 2884143
Kila la kheri katika utengenezaji
Dimensions hukadirii bali unaweka kipimo unataka.Hv mkuu kwa mfano hako katiket pichan kanawez kuwa na square size ipi
Maan mm hapo nashindwa kuiframe ili iwe kam hiyo kwa hizi softwares
Kukadiria measurement
Naijua illustrator....Ukiona haiwezekani jitahidi kujifunza zaidi capability ya hizo softwares.