General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,116
- 2,285
Kuna site nimeingia ikiwa na matangazo ya kujinasibu kuwa tuna update free driver to your Laptop.Nikaona acha nifaidike na huduma ya bure.Baada ya kudawnload na kufanya installation na kuelekea kwenye huduma,kweli software iliweza ku scan my laptop na kudetect a various driver is outdated include motherboard audio and etc.
Baada yakuendelea kwenye huduma zao nakutana na kujaza baadhi ya particula kama bank Acc na majina na hata Email as usual.
Baada yakuendelea kwenye huduma zao nakutana na kujaza baadhi ya particula kama bank Acc na majina na hata Email as usual.
- 1.Sasa changamoto yangu nimegundua kuna driver is out of time kipi nifanye kupitia hili jukwaa.
- 2.Kwenye kujaza detail za acc kwenye mtandao sio kama hatari katika biashara zangu.