Why Tanzania is not interested in Technology?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Kenya lunch 1st satellite-2018
Rwanda lunch satellite-2019
Ethiopia lunch satellite-2020
Uganda lunch Satellite-2022
Zimbabwe lunch satellite-2022
Tanzania lunch satellite-0

Tanzaninia by number of satellites-0 / Kenya -2
IMG_2878.jpg
 
View attachment 2845516
Sasa kama Zimbabwe na Uganda Wamelonchi na bado ni watu maskini hizo technology zingine ni Show Off tu kwa Nchi maskini.

Ni sawa na Mtu amuulize Mkulima wa Mahindi Mbalizi huko Mbeya why hana Laptop Apple Mac Air.
Na kuuliza kwanini hayuko Interested na Tech.
 
mkuu unaelewa kazi ya satellite??
Satellite haitumiki kuondoa umasikini
 
Satelite ya nini wakati tuna simba wa simba dangote? We zombie we.

Pia hao wengine ni just wateja tu wa hizo Tech...kuwa interested na Tech ni kuhakikisha kuwa mnajitegemea kwenye angalau sekta moja ya Teknolojia kwanzia kwenye tafiti mpaka uundaji (R&D)
 
Yan jitu kila siku linatumia sattelite based communication kama vile simu, internet yenyewe na tv broadcast alafu linakuja kupinga nchi kuwa na sattelite yake binafsi, majitu ni majinga sana aisee, alafu kesho atakuja tena kulalamika vifurudh vinakata haraka na internet iko taratibu yan watu hawajui kitu kabisa, na ndio ccm wanataka hivyo hivyo majitu majinga yawe mengi
 
Yan kwa lugha nyepesi ukiwa unatumia internet unatuma http request hii inaenda kwenye isp yako then isp yako inapeleka http request kwenye sattelite iliyopo sehemu alafu ile satelite inaenda kuangalia kwenye www then ndio inarudisha majibu sasa mtu anasema sattelite haina umuhimu sasa sijui hata hawa walonazo wakizishusha tutacomunicate vipi ? Jaman mtumiage akili muda mwingine kuna watu kama wana mavi kichwani…
 
Satelite ya nini wakati tuna simba wa simba dangote? We zombie we.

Pia hao wengine ni just wateja tu wa hizo Tech...kuwa interested na Tech ni kuhakikisha kuwa mnajitegemea kwenye angalau sekta moja ya Teknolojia kwanzia kwenye tafiti mpaka uundaji (R&D)

Mkuu unauelewa kuhusu satellite na kazi zake???
Unaelewa tunavosema Tz haiko interested na technology
 
Kenya lunch 1st satellite-2018
Rwanda lunch satellite-2019
Ethiopia lunch satellite-2020
Uganda lunch Satellite-2022
Zimbabwe lunch satellite-2022
Tanzania lunch satellite-0

Tanzaninia by number of satellites-0 / Kenya -2
View attachment 2845516
Education, Science and Technology is just like Nothing in Tanzania, instead the Big Deal here is Politics. Politics, I mean a Dirt Politics is Everything here in this Country, seriously I feel ashamed to be Tanzanian. If you introduce that idea of Satellite or Science and Technology to the regime of this country, abruptly you'll be an enemy of the state because such kind of stufffs cannot benefits the personal individuals in the regime.
 
Shida ni malengo, Hii nchi wananchi wake hawana malengo. Mwaka jana sijui ilitoka budget ya 692B za anunani za makazi

Mpaka leo hii sijaskia au kuona watanzania wanaonufaika na huo mradi, trca walitoa API lkn hamna IT anae zitumia na ni bure

IT wa tanzania ndo hawa wanabisha kama watoto sijui framework gani ni bora kuliko nyingi, sijui language hii ina speed kuliko nyingine

Badala wakae watengeneze mifumo, software zenyewe zimewashinda kutengeneza, wapo huku wanatafuta wanafunzi wa kuwafundisha programming ambayo wenyewe wameshidwa kuitumia

Hata iyo satellite kutiirusha inatumiwa na Mamlaka ya hali ya hewa na mzee azam kurusha matangazo ya azamTV

Vijana wa hii nchi wamelala na kupoa
 
Yan kwa lugha nyepesi ukiwa unatumia internet unatuma http request hii inaenda kwenye isp yako then isp yako inapeleka http request kwenye sattelite iliyopo sehemu alafu ile satelite inaenda kuangalia kwenye www then ndio inarudisha majibu sasa mtu anasema sattelite haina umuhimu sasa sijui hata hawa walonazo wakizishusha tutacomunicate vipi ? Jaman mtumiage akili muda mwingine kuna watu kama wana mavi kichwani…
Kuna aina nyinyi ya satelite zingine ni kwa ajili ya kuangalia hali ya hewa th
 
Kuna aina nyinyi ya satelite zingine ni kwa ajili ya kuangalia hali ya hewa th
Umeongea vyema kabisa mfano kwa sattelite ilikuwa rahis sana kujua kitakachotokea hanang so ingekuwa rahis kuwaambia wachukue tahafhari kwa ukubwa kabisa , anyways tuachane na hilo kinachonishangaza ni mtumiaji wa internet haoni umuhimu wa sattelite how comes mkuu ?
 
Kenya lunch 1st satellite-2018
Rwanda lunch satellite-2019
Ethiopia lunch satellite-2020
Uganda lunch Satellite-2022
Zimbabwe lunch satellite-2022
Tanzania lunch satellite-0

Tanzaninia by number of satellites-0 / Kenya -2
View attachment 2845516
Wewe huelewi hata tofauti ya "launch" na "lunch" halafu unataka kuongelea "technology"?

Ujinga huo.
 
Umeongea vyema kabisa mfano kwa satellite ilikuwa rahis sana kujua kitakachotokea hanang so ingekuwa rahis kuwaambia wachukue tahafhari kwa ukubwa kabisa , anyways tuachane na hilo kinachonishangaza ni mtumiaji wa internet have umuhimu wa sattelite how comes Mkuu?
Kuna nchi zimepiga hatua kubwa kwenye techno-logia hiyo lakini haya majanga halisia bado yanashinda kwa knockout...mudslides huwa zinatokea ata huko ukimwengu wa kwanza na watu wanakufa. Sijajua kama satellite inaweza kikuambia kwamba mlima fulani utaporomoka bali itakuambia kuhusu hali ya hewa labda kutakuwa na mvua siku fulani kitu ambacho TMAA huwa wanatoa hizo taarifa. Nafahamu pia kuna sensor za matetemeko ya ardhi n.k lakini si unakumbuka Tsunami ilivyotokea na kusomba watu.
 
Back
Top Bottom