Naomba msaada kwenye rims mfumo wa Latra

Naomba msaada kwenye rims mfumo wa Latra

noel oga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
277
Reaction score
230
Habarini,

Naomba msaada najaribu kujisajili kwenye mfumo wa rrims wa latra lakin mahali napohitajik kuweka namba ya nida nikiweka inakataa je ni mtandao au kuna tatizo la kiufundi zaidi.
image-2024-01-29-17:58:32-775.jpg
 
Umekosea taarifa zako za NIDA kama vile umemaliza shule mwaka gani au shule uliyosoma na mengine mengi unapaswa ujibu maswali kihusahihi
 
Back
Top Bottom