Ni namna gani naweza kudownload Series na single movies zilizotafsiriwa

DAVIES KILANGI

Senior Member
Nov 25, 2018
174
117
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania.

Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload series zilizo tafasriwa zikiwa katika file moja tofauti na kipande kimoja kimoja, pamoja na movies za kutafsiriwa zikiwa HD.

Nawasilisha
 
Yaani hapo unamaanisha mtu azitafsiri, Kisha aziupload kwenye mtandao kwa bando lake, ww ukapakue bure...

Nani ana muda wa kufanya hivyo? Wapo wanaoziuza telegram, anakutumia kwa malipo na wewe ndo utazidownload huko
 
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania.

Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload series zilizo tafasriwa zikiwa katika file moja tofauti na kipande kimoja kimoja, pamoja na movies za kutafsiriwa zikiwa HD.

Nawasilisha
Jifunze English,achana na tafsiri za kiongooo...hata kama ni movie ya lugha lofauti na Emglish, subtitle za Emglisha zipo sana.
 
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania.

Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload series zilizo tafasriwa zikiwa katika file moja tofauti na kipande kimoja kimoja, pamoja na movies za kutafsiriwa zikiwa HD.

Nawasilisha
Mkuu kwani ikitafsiliwa inapoteza ubora
 
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania.

Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload series zilizo tafasriwa zikiwa katika file moja tofauti na kipande kimoja kimoja, pamoja na movies za kutafsiriwa zikiwa HD.

Nawasilisha

Sidhani kama kuna movies zilizo tafsiriwa zikawa HD

Lakini pia hao madj hawana uwezo wa kuhost website zao ambazo wata upload hizo movies halafu wewe udownload bure..... watapataje hela

Wale wamezoea kuwafuata walipo wakuwekee au labda wakutumie telegram baada ya malipo, kuhost website wa upload na kuanza kuuza hawawezi
 
Back
Top Bottom