Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

Mr Mose

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Messages
338
Points
500

Mr Mose

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2016
338 500
Habari za jioni wakuuu nina mashine photocopier aina ya CANON 2520 IMAGE RUNNER (2014) nataka kuiunganisha na computer ili niwe na print na kuscan moja kwa moja nimejaribu kutumia CD walizonipa lakini haikubali kuweka network printing nimejaribu kuingia you tube lakini sijapata video yenye inafanana na mashine niliyonayo.
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
2,506
Points
2,000

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
2,506 2,000
Habari za jioni wakuuu nina mashine photocopier aina ya CANON 2520 IMAGE RUNNER (2014) nataka kuiunganisha na computer ili niwe na print na kuscan moja kwa moja nimejaribu kutumia CD walizonipa lakini haikubali kuweka network printing nimejaribu kuingia you tube lakini sijapata video yenye inafanana na mashine niliyonayo.
Unatakiwa uwe na RJ-45 Cable pia uipe photocopy mashine IP Address na computer pia uipe IP Address.Mfano photocopy unaweza kuipa IP Address 192.168.1.70 na computer ukaipa IP Address 192.168.1.2 network address za computer na photocopy lazima zifanae yaani 192.168.1. ila tarakimu ya mwisho inaweza kuwa yoyte ili mradi isizidi 255.Unaweza nicheki inbox kwa maelekezo zaidi ningekuwa huko ningekula hela yako kwa kazi hiyo
 
Mr Mose

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Messages
338
Points
500

Mr Mose

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2016
338 500
Unatakiwa uwe na RJ-45 Cable pia uipe photocopy mashine IP Address na computer pia uipe IP Address.Mfano photocopy unaweza kuipa IP Address 192.168.1.70 na computer ukaipa IP Address 192.168.1.2 network address za computer na photocopy lazima zifanae yaani 192.168.1. ila tarakimu ya mwisho inaweza kuwa yoyte ili mradi isizidi 255.Unaweza nicheki inbox kwa maelekezo zaidi ningekuwa huko ningekula hela yako kwa kazi hiyo
Shukuran Mkuu basi tutawasiliana Kati ya jumanne au Tano unielekeze step by step
 
ibradebo

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Messages
181
Points
225

ibradebo

Senior Member
Joined May 8, 2015
181 225
Mimi canon printer imenishinda kuunganisha baada ya kupiga windows pc upya, mara ya kwanza nilifanikiwa na ikawa inaprint vizuri tu, tatizo baada ya kupiga upya windows pc ikawa tatizo, nilishafanya laptops tatu kuunganisha printer na zikawa zinaprint ila baada kupiga windows zinagoma kiprint na drivers zote za printer zinaingia vizuri natumia cd yake original kufanya installation lakini inashindikana, naombeni msaada wapi nakosea? Nafuata taratibu zote za installation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maforce

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
410
Points
500

maforce

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
410 500
Mimi canon printer imenishinda kuunganisha baada ya kupiga windows pc upya, mara ya kwanza nilifanikiwa na ikawa inaprint vizuri tu, tatizo baada ya kupiga upya windows pc ikawa tatizo, nilishafanya laptops tatu kuunganisha printer na zikawa zinaprint ila baada kupiga windows zinagoma kiprint na drivers zote za printer zinaingia vizuri natumia cd yake original kufanya installation lakini inashindikana, naombeni msaada wapi nakosea? Nafuata taratibu zote za installation

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeinstall vizuri driver Bila error yoyote Fanya setting kwenye driver and printer chagua aina ya paper unazotumia kwenye photocopy yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
3,001
Points
2,000

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
3,001 2,000
Mimi canon printer imenishinda kuunganisha baada ya kupiga windows pc upya, mara ya kwanza nilifanikiwa na ikawa inaprint vizuri tu, tatizo baada ya kupiga upya windows pc ikawa tatizo, nilishafanya laptops tatu kuunganisha printer na zikawa zinaprint ila baada kupiga windows zinagoma kiprint na drivers zote za printer zinaingia vizuri natumia cd yake original kufanya installation lakini inashindikana, naombeni msaada wapi nakosea? Nafuata taratibu zote za installation

Sent using Jamii Forums mobile app
wengi kinachowashinda ninkwamba cd za driver za canon zinakuja na driver for 32bit only so ukipiga windows ya 64bit cd lazima ikusumbie kuinstall mpaka udownload ya 64bit

na kama zinaingia vizuri nasi nenda kwenye printer preferences set paper size iwe A4 the apply...jaribu kuprint

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fedora

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
233
Points
250

Fedora

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
233 250
wengi kinachowashinda ninkwamba cd za driver za canon zinakuja na driver for 32bit only so ukipiga windows ya 64bit cd lazima ikusumbie kuinstall mpaka udownload ya 64bit

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu, mimi machine yangu ni canon IR 2204. CD yake imekuja na driver zote 32 bit na 64 bit, mara ya kwanza nili install driver ya 32 bit na window ilikua 32 bit, ikakubali, nikafanyakazi vizuri, baada ya muda window ikawa infected na virus, nikaamua kufanya clean reinstallation ya window, nikatumia cd ile ile niliyoingizia window mara ya kwanza, kilakitu kikaenda vema ila ilipofika zam ya kuinstall driver ya hiyo canon, hatua zote za wali ilienda vizuri ila hatua ya ku-connect printer cable ili pc i-detect printer ika-fail, error ikanitaka ni-disconect cable na kuzima printer kisha kuwasha tena, nikafanya hivyo mara nyingi bila mafanikio, nikaamua kutoa tena hiyo window 32 bit, nikaweka 64 bit, nikatumia driver ya 64 bit nayo habari ikabaki pale pale. Kwakweli hili ni tatizo kwa watu wengi, mwenye ufahamu wa solution yake msaada tafadhali.

hako ka 2204 ni latest wame fanya correction na ndo maana kana scan kabisa ila ile kubwa 2520 haiscan

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
ibradebo

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Messages
181
Points
225

ibradebo

Senior Member
Joined May 8, 2015
181 225
hako ka 2204 ni latest wame fanya correction na ndo maana kana scan kabisa ila ile kubwa 2520 haiscan

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu na mimi ndio tatizo ninalokutana nalo before sijafanya windows installation ilikuwa poa inaprint vizuri, hata laptop zingine za ofisini nimeziunganisha na iyo print ila nahisi siku zikija collapse windows zikapigwa tena tatizo litakuwa hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngariba1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
627
Points
1,000

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
627 1,000
Sio kweli mkuu, mimi machine yangu ni canon IR 2204. CD yake imekuja na driver zote 32 bit na 64 bit, mara ya kwanza nili install driver ya 32 bit na window ilikua 32 bit, ikakubali, nikafanyakazi vizuri, baada ya muda window ikawa infected na virus, nikaamua kufanya clean reinstallation ya window, nikatumia cd ile ile niliyoingizia window mara ya kwanza, kilakitu kikaenda vema ila ilipofika zam ya kuinstall driver ya hiyo canon, hatua zote za wali ilienda vizuri ila hatua ya ku-connect printer cable ili pc i-detect printer ika-fail, error ikanitaka ni-disconect cable na kuzima printer kisha kuwasha tena, nikafanya hivyo mara nyingi bila mafanikio, nikaamua kutoa tena hiyo window 32 bit, nikaweka 64 bit, nikatumia driver ya 64 bit nayo habari ikabaki pale pale. Kwakweli hili ni tatizo kwa watu wengi, mwenye ufahamu wa solution yake msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, una mbishia tu mkuu New Nytemare. Cd za hizi ir2520 zinakuja na 32bit. Sisi tulipoinunua ofisini, kompyuta zote zenye 64bit ziligoma kuprint hadi walipodownload driver ya 64bit.

Mtoa mada atazame vizuri hili.
 
Forum statistics

Threads 1,367,044
Members 521,649
Posts 33,385,535
Top