Ni uongoNi bei nzuri kama haina tatizo
Mzigo jamaa anataka million 1.3.
Wataalam nipeni uchambuzi kabla ya kuzama mfukoni.View attachment 2880778View attachment 2880780
Ukipewa laki 8 ukatafute kkoo LATITUDE SERIEZ core i5 10th gen USED utatuleteaIngekua mpya sawa ila used hio bei hapana mpeleke mpaka lak 7
Ulitaka anunue kwa sh ngap mkuu? Tusipende kurahisisha mambo kila kitu kina thamani yake kulingana na matumizi yakeUnanunua ist kwani? hiyo pesa nyingi Tena Sanaa kununua Hilo plastic.
Mwambie kinaga ubaga kuwa anakupiga
Nadhani unatofautisha bei za laptop kkoo na za kuagizaNot worth it kwa gen ya 11. Kuna machine za Ryzen 5500U Hadi 850,000 unapata ambazo ni nzuri kidogo kushinda hio. Kwa hio budget Bora utafute gen ya 12.
Kwa 1.3 gen ya 11 labda iwe na dedicated GPU nzuri.
Kuagiza unapata Chini ya hapo mkuu, naongelea Bei za kkoo.Nadhani unatofautisha bei za laptop kkoo na za kuagiza
Kwa hiyo Kwa bei za kkoo Bado bei nzuri
Ila kama ataamuua kuagiza mwenyewe atapata nzuri zaidi ya hiyo
Labda tumuulize ananunua KKOO ama amemuagiza mtu nje
Au ananunua Kwa mtu hapahaoa kama SECOND HAND kutoka Kwa ndugu jamaa na marafiki