Kugeuka
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 333
- 225
Habari Wanajamvi,Awali ya yote niwatakie maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka.Ishu yangu mimi ni hii!!! nawezaje kutumia screen mbili kwenye kompyuta moja? Yaani,wakati nimefanya kazi flani ktk screen A,naacha ikiendelea,mf. Kuexport,halafu mimi naendelea na screen nyingine kufanya kazi nyingine. Msaada plz.