Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Ni swali ambalo nimekaa kujiuliza mnawezaje tumia MB 490 Kwa siku 7.
Binafsi nimeshindwa.
Binafsi nimeshindwa.
Sasa hapo utaenjoy nini mshamba_hachekwiUsifungue picha na video
simu gani ndogo na Mimi nipate isiyokula MBKwa smart phone ni vigumu! Ila ukiwa na simu ndogo zinakaa hata mwezi! Mimi mb 240 nilikuwa natumia mpaka basi! Kwa smartphone hata ujibane vipi hautoboi .
Sasa hivi natumia GB1 ndani ya siku tatu.
Kwa matumizi ya kawaida, unaingia Jamii forum, Facebook na site mbali mbali, ila hauwezi tu kuingia YouTube, WhatsApp n.ksimu gani ndogo na Mimi nipate isiyokula MB
Mimi nina TECNO ya button T370 nikiwa na MB 200 naweza kutumia wiki.Kwa matumizi ya kawaida, unaingia Jamii forum, Facebook na site mbali mbali, ila hauwezi tu kuingia YouTube, WhatsApp n.k
Mimi hii ilinifaa Sana.
Kwa ufupi ni simu kwa ajili ya mtu anayependa kusoma soma, siyo mtu anayependa kuangalia video.
Chaji kama unavyojua Tecno za Batani unakaa hata siku 5 na mziki unasikiliza.View attachment 2883530
Desktop yako itakuwa ina run windows 7, 8 au xp ambazo zimefikia ukomo wa kupokea updatesMimi nina TECNO ya button T370 nikiwa na MB 200 naweza kutumia wiki.
Site ninazotembelea ni
Jamii Forums
1xbet
Livescore kidogo
Kusoma mtandaoni
Kwenye smartphone GB 1 natumia siku 2
Kwenye desktop MB 49O huwa zinatoboa wiki maana kazi ni kubeti na kutuma email tu na sio kazi ya kila siku.
Hapo kwenye Desktop hapo. Kwamba komp yako haitumii sana MBs?Mimi nina TECNO ya button T370 nikiwa na MB 200 naweza kutumia wiki.
Site ninazotembelea ni
Jamii Forums
1xbet
Livescore kidogo
Kusoma mtandaoni
Kwenye smartphone GB 1 natumia siku 2
Kwenye desktop MB 49O huwa zinatoboa wiki maana kazi ni kubeti na kutuma email tu na sio kazi ya kila siku.
Nimeangalia hapa niliunga MB 300 tarehe 19, naangalia salio hapa nina MB 246.
Ni window 10, Nimeset kwa metered connection, huwa naapdate window defender tu manually.Desktop yako itakuwa ina run windows 7, 8 au xp ambazo zimefikia ukomo wa kupokea updates
Kwa windows 10 na 11 ni ngumu kutoboa na 490 kwa wiki labda kama umeiset kwa mitered connection
Mimi laptop yangu inakula bundle kinoma. Nimeset hiyo metered connection na data limit wapi.Ni window 10, Nimeset kwa metered connection, huwa naapdate window defender tu manually.
Kwa ujumla haina mambo mengi.
Kazi ni kutuma email na zenye doc za word tu, kubeti, kuangalia matokeo na nikitaka kudeposit 1xbet maana kwenye kitecno nikitaka kudeposit au kuwithdraw option hazitokei.
Unatumia mtandao gani?Mimi laptop yangu inakula bundle kinoma. Nimeset hiyo metered connection na data limit wapi.
Natumia Halotel. Huku niliko ina kasi ya ajabuUnatumia mtandao gani?
Mimi nikitumia airtel mtandao unakuwa slow sana lakini MB zinatembea kishenzi, kuna page unakuta inafungua kwa karibu dakika. Nikitumia voda ipo kasi na MB hazitembei sana.