Coding, programming, software development na software engineering nini maana yake na utofauti

Step_Rocker

Senior Member
Aug 31, 2021
197
323
CODING

Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile bash scripting n.k.

Kwa ujumla coder anatakiwa kua na skills zifuatazo ama zaidi ya hizi baadhi yake ni

  • Kua na uzoefu na language za kuzungumza na kompyuta kama vile java, C++.​
  • Kua na uwezo wa ku-maintain software code. Kama vile ku-fix bugs pia kuandika code ambazo zinaeleweka na watu wengine.​

PROGRAMMING

Sasa kwa upande wa programming inahusisha utatuzi wa tatizo kupitia software. Kutambua hatua za kuchambua ni jinsi gani tatizo husika litakwenda kutatuliwa kupitia coding skills.

Sasa basi programmer ni lazima awe nauzoefu wa programminglanguage plus kua na uwezo wa kuchambua ni namna gani tatizo husika linakwenda kutatuliwa kuptia programming languages husika.

Pia programmer anaweza kuchambua namna gani ya kutatua tatizo na akazigawa kazi hizo kwa coders ama watu ambao wana uwezo mkubwa kwenye programming language fulani.

  • Sasa utofauti ni nini kati ya programming na coding. Utofauti wake ni skills kwani mtu anaweza akawa na uwezo wa kuandika code kwa language fulani lakini asiwe na uwezo wa kudevelop steps ambazo ni efficient kusolve tatizo fulani.​
  • Programmer anakua na uwezo wa kudevelop efficient way kusolve tatizo fulani.Mfano programmer anaweza kua na uwezo labda wa kudevelop desktop application lakini anaweza kudevelop technical strategy na kuweza kudevelop web application akishirikiana na web developers. Coders asilimia kubwa hutegemea ideas kutoka kwa watu wengine ili waweze kuandika useful software.​

SOFTWARE DEVELOPMENT.

Hii inahusisha njia zinazotumika kutatua tatizo fulani hasa kibiashara zaidi kupitia programming skills. Software developer hukusanya mawazo mbalimbali kutoka kwa watumiaji wa software husika ambao mara zote hua wateja wake ama watu wanaokwenda kutumia software husika.

Mawazo husika ndio yanayomfanya kutengeneza software ambayo inaendana na watumiaji wake wa mwisho. Na kitu cha mwisho ambacho anafanya ni ku-code software husika ama ku-organize watu ambao ni proficient kwenye language fulani na kumaliza kuprogram.

Kwa hio sasa developer anakua na programming skills plus skills za kufanya bussines kama developer.

SOFTWARE ENGINEERING.

Huu ni uwanda mpana zaidi kwa maana skills kibao anakua nazo engineer husika ili kuweza kusolve tatizo husika. Engineering skills na programming skills kwa pamoja huusika kuweza kusolve tatizo husika.

Skills anazokua nazo software engineer kama vile.

  • Software architecture​
  • Security​
  • Deployment​
  • Database​
  • Networking​
    • Kwa ujumla kama kuna development ya software kubwa software engineer ndio anakua ana manage pande zote za software husika.​
Kwa ujumla hizo term hutumika kwenye project kubwa za software ambapo kila mmoja hupewa majukumu maalumu ili kufanya utendaji kazi makini kwenye project husika. What matters most ni skills.

Nakaribisha maoni na kujaza maoni palipopelea 👋
 
Anza mkuu maana online kuna resources, labda wewe ungependa kujifunza upande upi mobile application, web application n.k nipendekeze kwa kuanzia
Ivi unaweza kujifunza online na ukawa guru na inachukua mda gani coz mm najaribu mara nyingi ila sifiki mbali mfano
Nishawai download course kama zote udemy,youtube nikainstall Android studio,VS, na mambo yote ila Naishia kuviangalia tu
 
Natamani Sana Kuwa mjuzi WA programming, coding, app and web developer.
Ipi ni part ya muhimu katika hizo
kuianza stepwise?
 
Ivi unaweza kujifunza online na ukawa guru na inachukua mda gani coz mm najaribu mara nyingi ila sifiki mbali mfano
Nishawai download course kama zote udemy,youtube nikainstall Android studio,VS, na mambo yote ila Naishia kuviangalia tu
Walimu bana 🤣🤣🤣 🤺
 
Mie ningependa kuongezea kitu kidg

Katika ishu ya programming hasa kwa wale software engineers unatakiw ujue unatak ubase wapi

Mfn Engineer wa AI (Artificial Intelligence) hawez kuw saw na Engineer wa (WebApp).

So unatakiw ujue unataka nini.

Pili Mtoa mada naona katumia neno Software Engineer as a Full Stack developer.

Mtu kuwa full stack si mchezo inahitajika Kujitoa hasa na ujue Lugha si chini ya 5 (programming languages)

Ushauri wangu:

Kwa anayependa haya Mambo, download codes au fanya (cloning)/reverse engineering, download tutorials fanya PRACTICALLY kwa kuanzisha project yako. Napendekeza mti aanzie na Vi-HTML na CSS akipanda na Backend za PHP Na strings za JavaScript.. Lazima atapata msingi mzr sana. Before kurukia Python na Ma C++
 
Python ni sexy sana AI mkuu ni full python mkuu hata chatgpt imetengenezwa na python hizo zingine zipo too shallow kwenye AI. 🤐🤐🤐🤐
 
Yaaah ndio Mambo ya Python hayo.
Mie Python nimeipiga juu juu sana sipo deep (kutokana na focus yangu) ila Python yakibabe sana.
Lakini mtu kuwa full stack si lazima lugha 5 mkuu mbonaa kuna watu wamebase kwenye lugha 2 ila wanakanyaga fresh tu wapo so deep bro 🤔🤔🤔. Na mkwanja na madeal ya maana
 
A full stack developer requires skills such as Front-end Languages and Frameworks (HTML, CSS, JavaScript), Backend Technologies and Frameworks (NodeJS, ExpressJS, Django, Flask, C++), Database Management Systems (MySQL, SQL SERVER and PostgreSQL, MongoDB, and Oracle Database), Version Control, and Web Hosting Platforms.
 
Mmh sawa ila AI anaweza base na python tu akatusua au 🤔😑
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom