Kuna friji inayogandisha na kufanya kazi wakati wa mvua na baridi pekee?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kumbe kuna friji ni hadi mvua inyeshe ndio inagandisha vizuri na kupooza.

Hapa nimekuja kujua hili kwamba kuna friji zinafanya kazi kukiwa na mvua tu au baridi ndio linagandisha na kupooza vizuri.

Wataalam wa friji naombeni ufafanuzi kwanini friji nyingine zinafanya kazi wakati wa mvua tu?
 
Kumbe kuna fliji ni hadi mvua inyeshe ndo inagandisha vizuli na kupooza

Hapa nimekuja kujua hili kwamba kuna fliji zinafanya kazi kukiwa na mvua tu au baridi ndo linagandisha na kupooza vizuli

Wataalam wa friji naombeni ufafanuz kwanini friji nyingine zinafanya kaz wakat wa mvua tu?
Hapana, hakuna friji iliyotengenezwa hivyo, ambient temperature has a great influence on the functioning of freezers particularly in attaining low temperatures
 
Kumbe kuna friji ni hadi mvua inyeshe ndo inagandisha vizuri na kupooza

Hapa nimekuja kujua hili kwamba kuna friji zinafanya kazi kukiwa na mvua tu au baridi ndo linagandisha na kupooza vizuri

Wataalam wa friji naombeni ufafanuzi kwanini friji nyingine zinafanya kazi wakati wa mvua tu?
Kuna shida kwenye mfumo wa kupoza mtungi wa gesi, kagua feni ya kupoza mtungi au muite fundi akukagulie lkn pia hakikisha nyuma ya friji yako upande wa mtungi **** nafasi ya kutosha kupitisha hewa, usilibane ukutani.
 
Sawa sawa
 
Hapana, hakuna friji iliyotengenezwa hivyo, ambient temperature has a great influence on the functioning of freezers particularly in attaining low temperatures
Wanasema kuna ya nchi za barid na nchi za joto
 
Back
Top Bottom