Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

SABABU ZA SUBWOOFERS KUTOA SAUTI YA KUKWARUZA

Kuna sababu kadhaa zinazofanya subwoofer kutoa sauti ya kukwaruza.
1.Kulegea waya na vifaa vingine kama nati bolts nk. Inaweza kuwa sababu ya kukwaruza. Unahitaji wewe au fundi kukagua na kukaza sehemu zilizolegea.
2 Subwoofer kupokea power kidogo kuliko uwezo wake. Hii inaweza kutokea kwenye systems ambazo umecompose mwenyewe. Huenda amplifier umechagua haina uwezo wa kutosha kwa ajili ya hiyo subwoofer. Katika hali hiyo badilisha kimojawapo:subwoofer au upgrade amplifier.
Kama ulinunua complete system na kuna shida ya underpowered subwoofer basi nenda crossover settings ongeza rating ili kuruhusu power zaidi kwenda kwenye subwoofer.
3.Subwoofet kupokea power zaidi ya uwezo wake. Maelezo ya na 2 fanya kinyume chake ili kutatua tatizo
4.Cone iliyochanika:
Kama sehemu iliyochangia ni ndogo unaweza kuziba kwa kutumia gundi
Kama ni kubwa basi badilisha cone
5.Subwoofet iligochoka kwa sababu ya matumizi ya muda mrefu
Kagua sehemu zilizolegea mfano nati, bolts nak.halafu ukaze Pia kagua waya kama ikihitaka badilisha
Kagua cone na coil kama bado vipo katika hali nzuri. Ikibidi nunua sub mpya
6. Bass frequency isiyo sahihi.
Hapa unaenda kwenye audio settings kisha subwoofer setting kisha rekebisha frequency hadi mikwaruzo uishe.
 
Mchina huyo life span yake sumtime ni mwaka mmoja alaf ubofye kizenji,ukibofya kilevi tu huyo jamaa haimbi tena anakuwa anakoroma tu.
 
SABABU ZA SUBWOOFERS KUTOA SAUTI YA KUKWARUZA

Kuna sababu kadhaa zinazofanya subwoofer kutoa sauti ya kukwaruza.
1.Kulegea waya na vifaa vingine kama nati bolts nk. Inaweza kuwa sababu ya kukwaruza. Unahitaji wewe au fundi kukagua na kukaza sehemu zilizolegea.
2 Subwoofer kupokea power kidogo kuliko uwezo wake. Hii inaweza kutokea kwenye systems ambazo umecompose mwenyewe. Huenda amplifier umechagua haina uwezo wa kutosha kwa ajili ya hiyo subwoofer. Katika hali hiyo badilisha kimojawapo:subwoofer au upgrade amplifier.
Kama ulinunua complete system na kuna shida ya underpowered subwoofer basi nenda crossover settings ongeza rating ili kuruhusu power zaidi kwenda kwenye subwoofer.
3.Subwoofet kupokea power zaidi ya uwezo wake. Maelezo ya na 2 fanya kinyume chake ili kutatua tatizo
4.Cone iliyochanika:
Kama sehemu iliyochangia ni ndogo unaweza kuziba kwa kutumia gundi
Kama ni kubwa basi badilisha cone
5.Subwoofet iligochoka kwa sababu ya matumizi ya muda mrefu
Kagua sehemu zilizolegea mfano nati, bolts nak.halafu ukaze Pia kagua waya kama ikihitaka badilisha
Kagua cone na coil kama bado vipo katika hali nzuri. Ikibidi nunua sub mpya
6. Bass frequency isiyo sahihi.
Hapa unaenda kwenye audio settings kisha subwoofer setting kisha rekebisha frequency hadi mikwaruzo uishe.
Sabufa kuunguruma, ukiigusa na mkono inaacha ukiondoa mkono inaendelea hii insababishwa na nini, na nini suluhusho lake.
 
Kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna components zimelegea labda nati, screws, miguu ya cabinet nk. Kwa hiyo unapoigusa unasababisha vitu fulani kugusana ambapo havikutakiwa na hivyo kusababisha sauti ya mikwaruzo kwenye subwoofer.
Kwa hiyo subwoofer inapaswa kukaguliwa na kukaza sehemu zilizolegea kama hatua ya kwanza ya kutatua tatizo.
 
Umejibu kwa weredii saaana, asantee nimechukua point fulanii ivii
 
Kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna components zimelegea labda nati, screws, miguu ya cabinet nk. Kwa hiyo unapoigusa unasababisha vitu fulani kugusana ambapo havikutakiwa na hivyo kusababisha sauti ya mikwaruzo kwenye subwoofer.
Kwa hiyo subwoofer inapaswa kukaguliwa na kukaza sehemu zilizolegea kama hatua ya kwanza ya kutatua tatizo.
Sawa ngoja nitaifungua niiikague na kukaza sehem zilizolegea
 
Back
Top Bottom