Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari, Leo nimeingia kwenye account yangu ya remotask, ila kwenye dashboard, inaniletea natakiwa nifanye verification, ila kila nikiweka namba inanigomea inasema invalid.
0 Reactions
0 Replies
412 Views
17 January 2024 A study has found that microplastics, which are linked to negative health consequences, are present in 90 percent of protein sources such as meat and even plant-based alternatives...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini watu wa Mungu,nina tatizo hili kwenye account yangu ya WhatsApp business. Nimejaribu kuwaomba waifungue sioni response yao, msaada tafadhali naombeni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari waungwana,hivi dekoda ya azam tsh ngapi pekee? Dish ninalo la zuku,tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Wadau naomba anayefahamu app nzuri ya biblia yenye features nzuri zaidi zinazorahisha usomaji, utunzaji kumbukumbu, na utafutaji wa maandiko. Kwenye play store zipo nyingi Sanaa kiasi kwamba...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ipo hivi 1. 10-20M/month 2. 80% - Profit Margin (kila elfu 10, elf 8 faida) 3. App/web in yako pekeyako 4. Bootstrapped 5. Uhuru wa kiuchumi Hii inawezekana kufanyika hapa hapa Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
712 Views
Jamani wajuvi wa jukwaa hili nina simu aina ya Redmi note 10 pro, tatizo lake inawahi kuisha chaji haraka na kwenye screen inaonyesha kama cheche kwa mbali alafu inapata joto. Mwenye kuelewa hili...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau msaada nimenunua earphone juzi tu kwenye smartphone halafu zinakuwa hazisomi. Msaada please. Nini tatizo....
3 Reactions
214 Replies
33K Views
Laptop yangu inahili tatizo nimeangalia movie au kucheza game kama Inaleta Hayo maandishi then I inajiresistart Wenzangu mlisolve vp Hapa Nime attach Picha chini hapo
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje? Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli? Njia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu 😁 wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana, Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka...
0 Reactions
2 Replies
458 Views
=== Betavolt, kampuni mpya ya Kichina, inadai kuwa imeendeleza betri ya nyuklia inayoweza kuwasha simu za mkononi kwa miaka 50 bila kuchaji upya. Betri hiyo inatumia nishati ya atomiki...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nikitaka kuingi/ku sign in Gmail ya shule bussiness inaniingiza kenye g mail yangu. Inakataa kunietea g mail ya shule. Nifayeje? hata ki sign out, ni sign in inanpeleka moja kwa moja kwenye g...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? 😨 Hali kama: 🖼️ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi. 📁 Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika. 💻...
1 Reactions
4 Replies
724 Views
Huawei anazidi kuishangaza dunia na kuonyesha kuwa sanctions hazifanyi kazi. Baada ya kuwashangaza na simu zenye socs alizounda mwenyewe na ambazo demand ni kubwa kuliko hata uzalishaji wake kitu...
22 Reactions
254 Replies
16K Views
Watu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'. Hata...
45 Reactions
707 Replies
206K Views
Nimo na Harddisks za desktop/CCTV Camera naziuza 500gb= Tsh. 35000/= 1TB = Tsh. 90000/= 2TB = Tsh. 110000/= 3TB =Tsh. 130000/= 4TB = Tsh. 160000/= Napatikana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya. Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia? Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Back
Top Bottom