Naomba msaada mafundi wa mafridge Songwe

Naomba msaada mafundi wa mafridge Songwe

Twayemba

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
12
Reaction score
14
Niko huku mkoani Songwe Mbozi,naomba msaada kwa anaewajua mafundi wazuri wa mafridge huku tafadhali.
Fridge halipozi kabisa.Kuna fundi njaa alikuja kadai ni gesi imeisha,kajifanya kujaza lakini tatizo liko palepale.
 
Back
Top Bottom