Nililetewa android phone aina ya G-tab 700+ kutoka Saudi sasa display imepasuka na touch haifanyikazi wapi nawezapata touch na itacost shilling ngapi?
NATANGULIZA SHUKRANI
Katika sekta ya ujenzi kuna teknolojia za kisasa zenye ubora na bei nafuu. Ningependa kujua toka kwenu wadau ambao wako sekta ya ujenzi au waliojenga hivi karibuni kuhusu aina ya milango ambayo...
Wakuu habari.
Nauliza wataalamu au wanaoutumia hivi ving'amuzi. Nina muda free television sizikamati isipokuwa tbc tu. Ni nini tatizo.
Pia naomba kujua king'amuzi bora kwa sasa kwa FTA-free to...
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumetengeneza Android App inayoitwa Grab! Bajaj App.
App hii inamwezesha mtu yeyote kuona orodha za bajaj zilizozopo karibu na eneo alipo (Tanzania) pindi anapotaka...
Habari wakuu,,!
Jamani simu yangu inatatizo gani maana kila niki download kitu chochote nikitaka kukifungua inaniambia "File format not supported" ni simu aina ya Nokia ashia 303. Najua kuna...
Heshima mbele wakuu,
Bahati mbaya sijui thread yangu inafaa kukaa forum gani.
Nina kakibanda kangu ambako ni kakubwa kiasi chake jijini Dar.
Nahitaji fundi mzuri wa Grilles ambaye yupo neat na...
Kabla ulikuwa ukitaka kutumia WhatsApp mbili au zaidi kwenye simu 1 ungeweza kufunga ama OGWhatApp, ENWhatsApp, SAWhatsApp au WhatsApp Plus, sasa hizi zingine zote (clone) hazifanyi kazi tena...
Habari za leo wana jukwaa! Naomba kujua kama inawezekana kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha Zuku baada ya kutafuta sattelite ambayo ZUKU wanarushia channels zao.
Maoni yenu tafadhali.
Nina Toyota Harrier ambayo nimenunua mwaka 2012. Ni ya mwaka 1998. Kwa sasa kuna tatizo linajitokeza ambapo taa ya hand brek inawaka. Inafanya hivyo automatically hasa gari inapoanza safari. Ila...
Nimefanikiwa kuweka window 8.1 update 2 kwenye simu yangu.
Kuna mabadiliko kidogo kwenye settings setup na home screen. Ni hatari kufanya hivyo hasa kama simu yako iko kwenye orodha ya simu...
Nahitaji kampuni inayouza software kwa ajili ya SACCOS. Nataka yenye uwezo wa kutoa mikopo na kuonesha makato, kutunza taarifa za wanachama, kuonyesha akiba, hisa, akaunti mbalimbali(akaunti za...
Kwa wale wateja hasa wa mikoani waliokuwa wakitegemea kifurushi cha mwaka, Tigo wameshusha zaidi.
Mana walienda na series yakushusha MB kutoka 175 - 100 - 50 Mpaka sasa wanakupa MB 8 huku wakiwa...
Wasalaaam wakuu:
Anayejua anisaidie,hivi ninafanyaje ili icloud account yangu ya kwenye iPhone(simu) ndio itumike kwenye ipad!??
Na pia nifanyaje ili data zilizopo kwenye iPhone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.