Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.
themes zake ni safi zinavutia unlike others zinafanana kidogo na za iphone,
Kama ni tecno kwanini zifanane na za iphone ?
au ulitaka kumaanisha nini ?
Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.
Uliza maswali ya msingi haueleweki
Ni sm nzuri sna naitumia pia na enjoy