Bejojejojo
Member
- Apr 19, 2011
- 64
- 25
Wakuu habari.
Nauliza wataalamu au wanaoutumia hivi ving'amuzi. Nina muda free television sizikamati isipokuwa tbc tu. Ni nini tatizo.
Pia naomba kujua king'amuzi bora kwa sasa kwa FTA-free to air dish.
Natanguliza shukrani.