Wasalaaam wakuu:
Anayejua anisaidie,hivi ninafanyaje ili icloud account yangu ya kwenye iPhone(simu) ndio itumike kwenye ipad!??
Na pia nifanyaje ili data zilizopo kwenye iPhone nikifungua kwenye ipad nazo nizipate??kwa mfano picha,miziki na video,au picha nitakayopiga kwa kutumia ipad niikute kwenye iphone and vice versa
Msaada tafadhali