Kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha zuku

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
187
Reaction score
28
Habari za leo wana jukwaa! Naomba kujua kama inawezekana kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha Zuku baada ya kutafuta sattelite ambayo ZUKU wanarushia channels zao.
Maoni yenu tafadhali.
 
Inawezekana mkuu
 
Back
Top Bottom