Natafuta fundi mzuri wa Grilles na Painter


T

Tantalila

Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
5
Points
0
T

Tantalila

Member
Joined Sep 13, 2012
5 0
Heshima mbele wakuu,

Bahati mbaya sijui thread yangu inafaa kukaa forum gani.

Nina kakibanda kangu ambako ni kakubwa kiasi chake jijini Dar.

Nahitaji fundi mzuri wa Grilles ambaye yupo neat na akiwa na workshop yake sio mbangaizaji. Kazi ni kubwa; nataka awe dedicated kwenye kazi yake kwakuwa napenda perfection.

Pia, natafuta fundi rangi. Huyu si lazima awe na kampuni au workshop lakini nahitaji assurance on his/her availability for this work.

Kazi ya rangi pia si ndogo, nahitaji fundi ambaye yupo makini na details ndogo kwani nachukia mafundi wanaopaka rangi hadi wakakosea kufuata details ndogo na muhimu.

Baadae, nitahitaji fundi wa Gypsum na Floor tiles; tiles nimeshanunua CTM, fundi atakuwa na kazi ya fixing tu; about 1,800sqm

Asante
 

Forum statistics

Threads 1,285,394
Members 494,584
Posts 30,860,410
Top