Kuna hii simu application inaitwa 'true caller'. Sijui inafanyaje kazi ila mtu akiwa nayo ukimpigia simu hata kama haja save na hana namba yako litatokea jina ambalo mtu mwingine mwenye hii app...
Msaada waungwana, yeyote mwenye software ya camera kwa ajili ya laptop. computer yangu ni dell inspiron 15. windows ilileta shida nimeinstall window upya naombeni software kwa ajili ya camera...
Habari zenu jamani
Nimeroot smart phone yangu aina ya Tecno m5 kwa lengo la ku-upgrade kutoka android version 4.2.2 hadi android version 5.0.Naomba ambae anajua jinsi ya ku-upgrade anisaidie...
Habarini wadau
Niliformat laptop yangu majuzi hapa ila CD niliyotumia kuiformat haikuwa genuine hivyo hii niliyotumia nitaweza kuitumia kwa siku 30 tu,kulingana na ujumbe unavyosomeka
Kupata...
Natumia Nokia lumia 710 lakini tatizo nililonalo ni kuwa nikitaka kuangalia salio haionyesha inakuja neno 'system terminated'.Pia hata nikitaka kujiunga na vifurushi mfano vya airtel siwezi...
Kuna HDD ya Desktop computer imekataa kusoma a.k.a ipo kama imekufa vile hakuna signal yeyote
Nimefanya troubleshooting za kawaida [badilisha cables, kuweka kwenye computer nyingine, kuweka...
Jamani nina sheeedah!!
Nimenunua laptop, mpya haijamaliza hata mwezi. Nimeanza kuitumia baada ya kuweka program muhimu zote na antivirus Karspersky.
sasa tatizo baada ya wiki tangu nianze...
Mambo wadau eti nilikua nauliza kama kuna uwezekano wowote wa kua verified member kwenye websites ambazo zna limitation access i mean inabidi uilipie then ndo uitumie
Je kuna mwenye idea yoyote...
Wataalam ninaomba kuuliza jinsi ya ku update hii adobe flash player kwenye simu kuna tv channels nilizoingiza zinafunguliwa na hii flash player lakini inataka update.
Mambo wadau eti nilikua nauliza kama kuna uwezekano wowote wa kua verified member kwenye websites ambazo zna limitation access i mean inabidi uilipie then ndo uitumie
Je kuna mwenye idea yoyote...
Kuanzia kesho voda wataanza kutoa ofa mpya walioiiga toka tigo. Kwamba sasa utaweza kutumia bure intaneti kwa kiwango cha MB100 kuanzia saa 12 mpaka saa mbili asubuhi!
Heshima zenu wana jf, ninayo desktop aina ya Dell inspiron 520s ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lkn kuanzia jana baada ya watoto kuchezea games, uki boot monitor inaonyeshe Iko kwenye sleep mode...
Tafadhali waungwana,
naombeni msaada wa namna ya ku un lock iphone ambayo imejilock na apple id , kuna watu wengine wanasema kuwa mara haiwezekani ku unlock na wengine pia wanasema inawezekana ...
habari za majukumu wanajamvi,nina iPod classic kila nikiingiza nyimbo zinakua hazionekani kwenye playlist ila nikikonect PC na iPod naziona,Naomba kujuzwa nawezaje kuingiza nyimbo kweye hiyo iPod?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.