Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumetengeneza Android App inayoitwa Grab! Bajaj App.
App hii inamwezesha mtu yeyote kuona orodha za bajaj zilizozopo karibu na eneo alipo (Tanzania) pindi anapotaka kutumia usafiri wa bajaj. Mtumiaji anawezakuchagua bajaj aipendayo kisha kupiga namba za simu za bajaj husika.
Ingia Playstore weka search keyword GRABBAJAJ, ukishaipata install kwenye android device yako.
Tunakaribisha MAONI, UKOSOAJI, USHAURI na MAWAZO MENGINEYO juu ya application hii.
View attachment 254495View attachment 254497
Kwa wale wasiotumia android device, wanaweza tembelea account yetu ya instagram grabcityinfo ili uone picha chache za namna app hii inavyofanya kazi.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia email:- E-MAIL
Grab! City Info Co.