Decoder za Azam ni full hd??

Decoder za Azam ni full hd??

AKON

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
213
Reaction score
45
Kwa anaetumia au anajua decoder za azam TV , je hizi decoder ni full hd kweli maana Kama zimeandikwa full hd Ila nashangaa bei yake ndogo Sana
 
Ndio ni full HD ila channel moja tu ndio HD inaitwa landscape HD icheki uone inavong'aa.
 
Kwa anaetumia au anajua decoder za azam TV , je hizi decoder ni full hd kweli maana Kama zimeandikwa full hd Ila nashangaa bei yake ndogo Sana

Sometimes ni maneno ya kibiashara tuu.

Kwanza ujue TV channels bongo sio full HD, hivyo pengine inawezakuwa HD kwa upande wa TV za nje kama vile BBC,DWTV, ALJAZEERA etc

Pia Full Hd inatakiwa kuwa 1080p (1920x1080=Resolution)

Na Hd video inaanzia 480p

Hivyo ili kuweza kuona HD au Full HD
Ni lazima TV channel,decorder na TV screen vyote viwe vinasupport HD au Full Hd respectively
 
sometimes ni maneno ya kibiashara tuu.

Kwanza ujue tv channels bongo sio full hd, hivyo pengine inawezakuwa hd kwa upande wa tv za nje kama vile bbc,dwtv, aljazeera etc

pia full hd inatakiwa kuwa 1080p (1920x1080=resolution)

na hd video inaanzia 480p

hivyo ili kuweza kuona hd au full hd
ni lazima tv channel,decorder na tv screen vyote viwe vinasupport hd au full hd respectively

point!
 
Sometimes ni maneno ya kibiashara tuu.

Kwanza ujue TV channels bongo sio full HD, hivyo pengine inawezakuwa HD kwa upande wa TV za nje kama vile BBC,DWTV, ALJAZEERA etc

Pia Full Hd inatakiwa kuwa 1080p (1920x1080=Resolution)

Na Hd video inaanzia 480p

Hivyo ili kuweza kuona HD au Full HD
Ni lazima TV channel,decorder na TV screen vyote viwe vinasupport HD au Full Hd respectively

480p ni sd sio hd

Hd ni 720p
 
480p is the starting of hd video or the lowest hd video in north america or 576p in europe.

High-definition video - Wikipedia, the free encyclopedia

mbona kwenye link yako wameandika more than 480p, halafu wamarekani wana tabia ya kudanganya watu wa kawaida kuhusu standard. kipindi korea wana 4g na marekani wana 3g tupu walikua wakiita hspa+ kama 4g. simu kama note 1 ya kimarekani ikiwa h+ inaandika 4g.

480p ni sd na sio hd. kwenye link wameandika more than 480p ni hd kitu ambacho kinaleta mushkel. atleast hio ya ulaya 576p inaingia akilini kidogo.
 
Hapa inategemea na country, pia wanaangalia zaidi resolution kuliko hizo horizontal lines, miaka kadhaa iliyopita nilisoma na sikuona hiyo 576 horizontal lines. Kitu kingine wanachokiangalia hawa jamaa ni Aspect ratio kama vile 16:9 . Hiyo 480 na 576 na 720 ni idadi ya horizontal lines ambazo pia zinategemea idadi ya vertical lines ili kutengeneza Resolution.
 
Sometimes ni maneno ya kibiashara tuu.

Kwanza ujue TV channels bongo sio full HD, hivyo pengine inawezakuwa HD kwa upande wa TV za nje kama vile BBC,DWTV, ALJAZEERA etc

Pia Full Hd inatakiwa kuwa 1080p (1920x1080=Resolution)

Na Hd video inaanzia 480p

Hivyo ili kuweza kuona HD au Full HD
Ni lazima TV channel,decorder na TV screen vyote viwe vinasupport HD au Full Hd respectively

uko vizuri kichwani
 
480p ni 480p hata ikiwa ni 640x480 au 800x480 hapo itabadili upana tu wa kifaa ila quality ni mule mule. kuiita 480p hd ni uhuni. ni kama serikali yetu sababu hatuna tv ya hd basi iamue kuanzia leo 240p ya tbc 2 ni hd na 360p ni full hd
 
Siku hizi chanel Ten ni HD
 
Kwa anaetumia au anajua decoder za azam TV , je hizi decoder ni full hd kweli maana Kama zimeandikwa full hd Ila nashangaa bei yake ndogo Sana

Bei siyo tatizo dstv wana decoder ya hd wanaiuza 39,000 tu.
 
Mwenye snap ya Azam awake hapa , me natumia Zuku wana channel moja to hd Kama inavoonekana [+255 717 690 06ATTACH]254065[/ATTACH]
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1432447391.726465.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1432447391.726465.jpg
    55.5 KB · Views: 234
Inapendeza sana ukiona watu wanapishana mawazo na kuelimishana bila matusi wala kuleta ujuaji,jf nzima ingekuwa hivi wengi tungeelimika!
ymollel na AKON Chief-Mkwawa mko vizuri....mimi natumia startimes decoder kwa kutumia 1080p full hd led tv kuna nba tv channel ambayo ni sd lakini inavyoonekana inazidi baadhi ya hd nilizoziona kwenye some decoders. Sometimes naona tv yako,mrusha matangazo wanachangia sana kuona picha nzuri.

Tv nyingine hd maandishi tu ila quality ni chini ya sd nyingine.
 
Last edited by a moderator:
480p ni 480p hata ikiwa ni 640x480 au 800x480 hapo itabadili upana tu wa kifaa ila quality ni mule mule. kuiita 480p hd ni uhuni. ni kama serikali yetu sababu hatuna tv ya hd basi iamue kuanzia leo 240p ya tbc 2 ni hd na 360p ni full hd

mkuu usitumie nguvu nyingi kumuelewesha mtu ambae hataki kuelewa.. songa mbele tu. ila ukweli utaki kua sd na hd zinautofauti mkubwa sana na wala sd haziwezi kuzikaribia hd.

kama utatumia srt utaelewa nini namaanisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom