Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Kabla ulikuwa ukitaka kutumia WhatsApp mbili au zaidi kwenye simu 1 ungeweza kufunga ama OGWhatApp, ENWhatsApp, SAWhatsApp au WhatsApp Plus, sasa hizi zingine zote (clone) hazifanyi kazi tena.
Nini suluhisho la hilo kwa sasa?
Kwenye simu yako (hasa zenye operating system ya Android) ingia PLAY STORE na utafute app/plugin inaitwa DISA, install hiyo kwenye simu yako kisha ongeza WhatsApp nyingine na uendelee kufurahia kuwa na WhatsApp zaidi ya moja.
Disa inakubali app zingine nyingi kama facebook na kadharika.
DISA home page: http://www.disa.im/
DISA on google playstore: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.disa
Kama una swali uliza