[TIGO] Mabadiliko ya Kifurushi.

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,655
Kwa wale wateja hasa wa mikoani waliokuwa wakitegemea kifurushi cha mwaka, Tigo wameshusha zaidi.
Mana walienda na series yakushusha MB kutoka 175 - 100 - 50 Mpaka sasa wanakupa MB 8 huku wakiwa wameongeza SMS kutoka 500 bila kikomo mpaka 1000 kwa siku.

10996488_720525588069983_8917565191436682543_n.jpg

TIGO said:
Mabadiliko ya Kifurushi cha DK20 BILA KIKOMO.Sasa kinatoa DK20 MITANDAO YOTE, SMS1000 & MB8 SAA 24 kwa Sh 999tu.Piga *148*00# Ofa Maalum kisha DK 20. Utapata kifurushi cha BURE

Kifurushu hiki sasa ni kwa siku, sio mwaka tena.

snipa
 
Last edited by a moderator:
mitandao ya bongo inakuja na technique mbaya kujaribu kubana watu kubaki wanatuma meseji na kupiga simu, Dunia inabadilika, sa hivi kila kitu ni through the internet, inabidi wakubaliane na hilo mapema tu kuliko baadaye mtu akija akaingia kwenye competition na kutoa internet ya uhakika hakuna mjinga atakaye rudi huku...

Hawa jamaa wanaturudisha sana nyuma kimaendeleo, sasa nchi hatuwezi kufanya vitu kama video streaming sababu ya prices za ovyo.

Dili ni kuchakachua tu
 
Hapo kwenye red hebu nipe mbinu.Mimi natumia airtel.
 
Hivi wale internet providers kama simba au raha wanatoa huduma zao kwa gharama gani?
 
mitandao ya bongo inakuja na technique mbaya kujaribu kubana watu kubaki wanatuma meseji na kupiga simu, Dunia inabadilika, sa hivi kila kitu ni through the internet, inabidi wakubaliane na hilo mapema tu kuliko baadaye mtu akija akaingia kwenye competition na kutoa internet ya uhakika hakuna mjinga atakaye rudi huku...

Hawa jamaa wanaturudisha sana nyuma kimaendeleo, sasa nchi hatuwezi kufanya vitu kama video streaming sababu ya prices za ovyo.

Dili ni kuchakachua tu
Hapana hawaforce watu wapige simu na kutuma sms bali wanagawanyisha vifurushi vya kupiga na vya internet

Kwa sh 250 unapata mb 50
Kwa sh 500 unapata mb 200-300
Kwa 1000 unapata kuanzia mb700 hadi unlimited.

Vipo vifurushi vya usiku hadi gb30 kwa 1000 tu kwa siku 2

Maisha yangu yote kutembea kwangu kote sijawahi ona nchi yenye vifurush vya bei rahisi kama tanzania

Tatizo letu ni speed na signal ambazo zipo weak.
 
Zamani MB 100 unapata ndani ya kifurushu cha mia tano pamoja na dakika + sms.
lakini unapopewa MB 8 kwa kifurushi kile kile wakimaanisha ununue vifurushi vya 250 upate MB 50/200, na kisha tuendelee kuwasifia hapa kwamba wanatenganisha vifurushi vya Dakika/kawaida na MBs wakati tunaona kabisa sio maendeleo haya.
otherwise inawabenefit wao.

Ni idea yenye mtizamo chanya kwa wenye mawazo chanya.
 
Back
Top Bottom