hivi ukitumia simu kma modem inakula hela sana mb 200 kwa dk 5
Pia inategemea amedownload nini though kwa dakika tano 200MB ziishe na mitandao yenyewe ya tanzania ilivyokimeo kuweza kudownload mb zote hizo kwa dakika tanoItakula sana MB endapo computer yako ina Kiu sana na internet.
Kama:
Antivirus ni outdated au,
Os ni outdated na umeweka Automatic Update....
Pia sofware zingine zinaweza kujiUpdate kama vile browsers,... Kama ni outdated
Itakula sana MB endapo computer yako ina Kiu sana na internet.
Kama:
Antivirus ni outdated au,
Os ni outdated na umeweka Automatic Update....
Pia sofware zingine zinaweza kujiUpdate kama vile browsers,... Kama ni outdated