Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani naomba mnisaidie,nawezaje kupiga picha kwa "screen shot" ya iPhone?? Nimekuwa nikijaribu lakini sioni wapi pa kuanzia.Msaada tafadhali
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hello Jf! Ninawazo la kununua machine ya kusafishia picha za digital kubwa (5 X 7)na passport sizes ila sijui pa kuanzia maana sijui mambo yafuatayo -aina ya hiyo machine na jina lake -Bei ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
specification zake ni km ifuatavyo hd 500 ram 2gb processor 1.40ghz system type 32 operating system pia ina camera kwa wale wapenzi wa vitabu na movie zipo za kumwaga bei yake ni 400000 pungufu...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Habar zenu wakuu...!?! nina simu yangu moja aina ya Huawei y530 inatatizo limetokea zaid ya mara nne saasa kuna muda inagoma,ku function kwenye message...whatsapp..Gmail.na Facebook yani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau! Jamani kuna tofauti gani kwenye engine za Toyota hapo juu. Ni ipi yenye kuvumilia tabu na shida ktk rough and tuff road. Ni ipi economical kwenye fuel consumption? Ni ipi spea...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Niko sehem ambayo network inasumbua je nifanyi ili nipate internet
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Kuna jamaa wanafanya data recovery hadi ya SIM card kurejesha SMS an namba za simu zilizofutwa. pia wanaweza kurejesha data ktk smartphones (blackbery, Android, iPhone, Simbion, etc.). Hii ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika uchunguzi wangu, nimegundua kwamba Viber voice call 📞. Ipo vizuri sana kuliko WhatsApp Call, . Usikivu wa viber ni mzuri kuliko whasapp kwa mazingira ya internet yanayofanana. Sauti...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Samahani mwenye used cartridge ya hp printer no.21 Ninahitaji. Nina hp printer moja ya enzi hizo inatumia cartridge ya wino mweusi namba tajwa. Iliyokuwepo iliisha na nimeipoteza. Ila...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Damn! Anybody I mean kuna mtu anajua jinsi ya Ku root Huawei Y330 anisaidie nimejaribu kila kitu jinsi ya ku root nimeshindwa??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona kwa watu wengi hii editing nimeipenda na nina picha zangu tatu nahitaji kusaidiwa kufanya hivi kama upo teari naomba uni PM namba ako afu naomba kuelekezwa hij editing ina fanywa vipi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu,nina moderm yangu ya voda imenigomea mnara aupandi kabsa, tatizo linaweza likawa nin na nifanyaje?
0 Reactions
5 Replies
866 Views
Wadai nimepata mark ninayotaka kuiweka kama avator nitaiwekaje ? hebu nipeni step
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni hivi nina laki 2 natafuta simu ya smartphone nilikuwa nahoji nikanunue simu gani ila mi ni mpenzi wa tecno,htc na samsung
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wan JF naomba msaada wa namna ya kubadilisha key board ili niweze kuchapa kwa lugha ya kifaransa. pia namna ya kubadili ili ichape kama key board nyingine maana nimeambiwa kuna mtindo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Husika na hoja hapo juu naomba kujuzwa juu ya faida na hasara za kuroot simu kabla sijachukua uamuzi wowote, natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu waungwana , jamani mimi nimekuwa nikisumbuliwa sana na tatizo la Ads kwenye browser zangu (mozilla na Chrome) , yaani inafika wakati nashindwa hata kuona screen maana inakuwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Niaje wana jf? Nahitaji kununua server ambayo ita allow ku upload files and download the uploded files....hv kwa kuanzia tu nitapata server ndogo labda kwenye shilingi ngapi labda....
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habar great thinkers kama title inavojieleza msaada tafazar jinsi ya kuweka application ya kupakua video za aina zote
0 Reactions
0 Replies
5K Views
JAMANI MI NI BIGINNER KABISA KWENYE JAVA BUT KATIKA SOMA SOMA YANGU NIMEKUTANA NA TATITIZO WAKATI WA UANDISHIB WA CODE ZA LENGO LANGU NI KUANDIKA SIMPLE ATM PROGRAM INTAKAYO KUWA INA MWAMBIA USER...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom