Habari zenu wapendwa
Kuna mtu hapa nilipo ameletewa Nokia Lumia 720 ikiwa bado haijafanyiwa update juu ya hii window mpya sass tukaifanyia update imekamilika matokeo yakee inafanya kuupdate zile...
Ndugu zangu habari za wakati huu. Naomba kupata ushauri na msaada toka kwenu. Hivi karibuni nilinunua mshine ya hiti kwa ajili ya kuprint express passport size. Sasa wakati naiwasha tu kwa mara ya...
Ni kwa mapenzi yake Mungu tunaendelea kuwa na uhai.
Nina Samsung Galaxy Tab 3 7.0 yenye model namba ya SM-T211 ambayo niliiupdate kwenda KitKat (Android 4.4.2) lakini,tablet hii imekuwa inalag...
Heshima wakuu.
Nna folder ambalo nataka kuli-unzip naomba kujua app ipi ni nzuri kutumia kwa kupitia simu?.
Naweza kuambiwa "nenda playstore utazikuta" ni kweli zipo ila ningependa kujua...
Natumia simu ya HTC aina ya windows 7.
Baadhi ya Apps hazifanyi kazi kwenye hii simu.kama hii true caller inanitaka ni upgrade.
naomba muongozo na ni apps zipi bora kuwa nazo kwenye simu kwa...
ni kipindi kirefu nimekuwa nikitafuta njia za kuponesha hii simu lakini nimeshindwa
tatizo ni kwamba
kila nikifungua browser kuna sms inakuja inasema
Your device does not
currently...
Wana JF naomba kusaidiwa gari yangu ni noah, ile geji ya speed haifanyi kazi baada ya kubadilisha difu hali hiyo ikaanza, na gari haibadilishi gia no 5 inaishia gia nne tu, lkn juzi ile geji...
Habari zenu wana jukwaa Nilikuwa nauliza kama kuna apps zinazoweza kumfanya mtumiaji wa smartphone akawasiliana na mtu mwenye simu ndogo za kawaida kwa njia ya SMS kwa kutumia data tu.
wakuu nimekuwa nikiona mara nyingi hili neno "custom rom" ila kiukweli sifaham ni kitu gani hicho, kwahiyo wakuu kama kuna yeyote anafaham anijuze.
na pia nilisikia kuwa kuna watu huwa...
Wakuu habari,
Camera ya simu yangu imestop kupiga mbele na nimejaribu kila namna imeshindikana ila front najipiga kama kawaida sijajua tatizo ni nini? aina ya simu ni Tecno P3
mbali na sifa nyingi za hii simu, naomba kujuzwa hili la water proof... je, ni kweli kwamba unaweza kuitumbukiza kwenye maji na kuitoa majini ikiwa nzima?
Kuna hizi search-engines katika pita pita nimekutana nazo
=>EML
=>WOW
=>YANDEX
=>BAIDU
=>tinyURL
=>LYCOS
=>ASK
Mwenye ya kuongezea usisite kuimwaga hapa. Pia uiweke katika form ya...
Inakuwaje wakuuu natumain mko poa hii ni IDM mpya kabisa iko Crank yake fuata maelezo kwenye file lipo ndani kila kitu kipo humo ila hakisha wakati wa Installation unafanya ukiwa OffLine
Enjoy
salam wakuu.
naombeni msaada wa ku-unbrick hii tecno p5.
iko hivi,nilifanikiwa kuflash custom rom kwa h5 na mwenzangu akaomba nimuwekee kwa p5.
ishu ni kwamba p5 kila nikijaribu kuweka custom...