elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Mimi ni mpenz wa iphone na ios yake, lakini kama mnavyojua ios ina limitation nyingi sana na ndiyo maana watu wanaopenda tweaks wana prefer android.
Ila kwa watumiaji wa ios ukijailbreak device yako utaifaidi zaid mfano utaweza install whatsapp ++ upate features kibao, utaweza tumia whatsapp web ambayo kwa iphone bado officially hawajaitoa kutokana na limitations za ios.
Utaweza funga application yoyote unayotaka mfano mimi nimefunga whatsapp na app ya messeges huwezi zi access mpaka uweke passcode.
Utaweza customize simu kwa kuweka themes, ringtones nyingine tuma files via blutooth, share music via whatsapp japo pia hili lawezekana bila kujailbreak via shareApp lite.
Pia unaweza download app yoyote iliyopo app store hata kama ni ya kulipia bure na hii sio lazima simu iwe jailbroken.