Expert Blogger
Member
- Dec 3, 2013
- 28
- 10
Jinsi ya kujipatia kipato kwa kutumia blog
Awali ya yote napenda kuwashukuru wote mliochangia mada yangu ya kwanza kwa kunishauri vizuri.. Leo napenda kabla ya kuendelea mbali kwenyed kudesign labda tu niseme ni jinsi gani unaweza kujipatia pesa kwa kutumia blog.
Tofauti sana na njia nyingine kama network marketing ambazo huwa zina ukweli ndani yake lakini huchukua muda mrefu sana tena inahitaji bidii kubwa ukizingatia idaidi ya watu ambao ni wasomi ambao wanaweza kuelewa hasa na kujiunga katika mtandao wako ili upate mapato,njia pekee inayoaminika ni GOOGLE ADSENSE.
Google adsesnse ni mtandao wa matangazo unaomilikiwa na google kwa ajili ya kuwakutanisha advertisers,publishers na audience. Advertisers ni kampuni au mtu binafsi ambaye anapenda kutangaza biashara yake, publisher ni mtu yoyote mwenye website au blog au mobile site ambayo kupitia hyo advertiser ataweka matangazo humo ili watembeleaji katika web au blog waone.
Ili uweze kujipatia kipato kutoka google adsense lazoma uwe na blog,website,moblie site au youtube channel a,ambayo inatembelewa na watu.Pamoja na hayo google adsense wana policies na kwamba ni lazima uzifate na uzikidhi ili uweze kupata google adsesnse account.
Mara tu utakapopata account yako ya google Adsense utawea kutengeneza different size za matangazo na kisha kuzipachika katika platform yako ili watembeleaji waone.
Kipato chako kitatokana na watembeleaji wako kubofya yale matangazo au tu kwa kutembelea web au blog yako.
Hivyo ili ujipatie kipato kikubwa inabidi ujue namna ya kuweka contents zenye mvuto ambazo zitavutia watu na pia zisivunje masharti ya google.
Kila mtembeleaji atakaebofya ataukua amekuingizia 0.6 Euro sawa na shilingi mia 4 za kibongo au zaidi kulingana na thamani ya Euro inavyopanda na kushuka.Mbali na wataobofya watembeleaji tu pekee watakupa zaidi ya mapato endapo unawatembeleaji wengi.
Kwa blog kama yangu kwa siku inaingiza zaidi ya Euro 4 pamoja na kuwa watembeleaji sio weni sana.Kwa kuwa napenda sana kublog kwangu Euro 4 si haba ukizingatia huwa na blog si zaidi ya masaa mawili kwa siku tena ninapokua nimechoka.
Ushauri wangu wa bure kama kweli una nia ya kupata pesa kutumia blog kamwe usiweke mbele mawazo ya pesa kwani ni rahisi sana kukata tamaa.
Ni rahisi sana kupata pesa kama uko serious.Mwanzoni ilikuwa ngumu sana kwnagu kwani nilikuwa naandika contents ambazo hazipati watazamaji hapa bongo then nikapata mwalimu alienipa elimu hii na ushuhuda wake jinsi alivyojikwamua kidogo kidogo mapaka sasa ana biashara zake baada ya kupata mtaji zaidi ya dola 5000 kupiata blogging.
Kwa walioelewa somo huu ni mwazo tu cha msingi ni jinsi ya kuidesign blog yako na aina ya contents ambazo zitavuta watazamaji wengi
Kwa leo naishia hapo..i hope wanaopenda watakuwa wameona opportunity iliyopo kwenye google adsense.