Zasasule
JF-Expert Member
- Aug 12, 2009
- 1,001
- 103
Habari zenu..hope mko poa..
nimenunua tv inch 55..but tatizo lake nikiconnect kingamuzi chochote picha inatoka black and white ..yaani haitoi rangi.
But nikiconnect dvd ya singsung..nikiset to Ntc.inatoa rangi...
so kwa upande wangu hii tv system yake ni pal na hapa inatumika ntc..
So jf member msaada. Je kuna vingamuzi vya ntc? Ama kuna kifaa cha kubadilisha from pal to ntc??
Tv inaitwa XCANVAS..
NATANGULIZA SHUKRAN