Msaada: Kudownload movie kutoka viki

Msaada: Kudownload movie kutoka viki

Nadhani IDM nilishaitumia kudownload series huko
 
idm imebuma eeh, karibu kwenye ulimwengu wa ki-asia

1. video nyingi zA viki watu wanazi upload youtube make sure haipo youtube kwanza

2. kama youtube haipo nipe link nikutestie kwa tools za online zipo nyingi ila nyingi zimekufa kufa hazifanyi kazi
 
apo palipo andikwa enter viki video inakuwaje (nimedownload video mama)
 
idm imebuma eeh, karibu kwenye ulimwengu wa ki-asia

1. video nyingi zA viki watu wanazi upload youtube make sure haipo youtube kwanza

2. kama youtube haipo nipe link nikutestie kwa tools za online zipo nyingi ila nyingi zimekufa kufa hazifanyi kazi

izo link (URL) zinapatkanaje
 
izo link (URL) zinapatkanaje

juu ya browser yako ndio unapata link kwenye hilo box unaloandikia facebook.com au google.com

mfano hapa tunapodiscus link yetu ni

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/876903-kudownload-movie-kutoka-viki.html#post13155350
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo zipi hizo au ndiyo kama ile ya The Patriotic Knights

Wuxia zinakuwa ni myth story za kichina nyingi ni kama martial arts ila zinakuwa na umbea umbea kama mtu anatembea juu ya maji, mtu yupo fast sana nk

Mfano google hizi hapa
-swordsman 2013
-return of condor heroes
-romance of condor heroes.
-heavenly sword and dragon saber
-legend of qin

Zipo youtube na subtitle zake tena full hd. Wachina sio wachoyo nyengine zimeekwa youtube na watengenezaji kabisaa hivyo ni za halali huna haja ya kupirate
 
Umesomeka ila wakorea washaniloga kuchomoka ngumu maana nilizichekiThe Patriotic Knights na Strange Hero Yi Zhi Mei but hazikunivutia kabisa
 
Umesomeka ila wakorea washaniloga kuchomoka ngumu maana nilizichekiThe Patriotic Knights na Strange Hero Yi Zhi Mei but hazikunivutia kabisa

Download episode 1 tu hio swordsman 2013 uangalie action zake maana zinaonekana episode ya kwanza tu.
 
Back
Top Bottom