Msaada: computer (desktop) inayofaa kwa graphics design

bagain

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
361
222
Wana Jf,
Ni computer ya aina gani na yenye specification zipi inafaa kwa graphics design?
 
@Mla Mbivu, asante kwa kunijulisha aina, vipi kwa Dsm zinapatikana wapi?
 
Nina swali hapo hapo....kwann mme itaja mac kuwa bora kwa kazi iyo....kwan dell toshiba au acer hazifai....si kuwa tu na software inayofanya iyo mambo
 
Wana Jf,
Ni computer ya aina gani na yenye specification zipi inafaa kwa graphics design?
Sina utaaaaama sana ngraphics ila nimekuw ana interest nayo miezi ya karibu hivyo nimefanya fanya resch na observation mbali mbali na naendelea kujifunza.

Aina na uwezo wa kompyuta bora Inatgemea graphic design unayomaanisha au application utakazotumia.

  • Kama ni picha tu basi hata computer za kiwaida zenye cpu nzuri zinaweza mfano hivi sasa kuna Intel i core i3 i5 i7. Mfanokama lengo lako ni matumzi ya Photoshop tu basi unaweza kuwa na hata 32 bit OS kama ya XP ya kawaida. na ikafanya kazi vizuri
  • Kama ni graphic kwako ni una maana ya video na application tena za VHD au 3D au 4D basi inabidi zadi ya Core CPU Laptop au computer iwe na GPU( graphic procssing unit). Mfano kama utataka kuistall package nzima ya Adobe Master colection. CS5.5 Basi for better performance muhimu iwe 64 bit CPU na iwe na GPU.
katika family ya intel kuna ambazo zina GPU na kuna ambazo hazina. Kazi ya GPU kwene computer ni kuipungzia CPU mzigo wa kuprocess graphics . So Video card inakuwa kama ina ka proccessor kake. Kwa maana hiyo computer yenye GPU inaongeza performance na inafaa kwa high qulility ghraphics ambazo ni resource hungry.

Technical specs and requireent za Adobe master Colleection C5.5 znaweza kukup mwanga.

Kwa mtazamo wangu Sio lazima iwe Mac unaweza kupata kwa bei ya MAC windows PC nzuri amabayo inaweza kuhandle graphics kubwa kubwa bila shida.
 
Sina utaaaaama sana ngraphics ila nimekuw ana interest nayo miezi ya karibu hivyo nimefanya fanya resch na observation mbali mbali n naendela kujifunza.

Aina na uwezo wa kompyuta bora Inatgemea graphic design unayomaanisha au application utakazotumia.
  • Kama ni picha tu basi hata computer za kiwaida zenye cpu nzuri zinaweza mfano hivi sasa kuna Intel i core i3 i5 i7. Mfanokama lengo lako ni matumzi ya Photoshop tu basi unaweza kuwa na hata 32 bit OS kama ya XP ya kawaida. na ikafanya kazi vizuri
  • Kama ni graphic kwako ni una maana ya video na application tena za VHD au 3D au 4D basi inabidi zadi ya Core CPU Laptop au computer iwe na GPU( graphic procssing unit). Mfano kama utataka kuistall package nzima ya Adobe Master colection. CS5.5 Basi for better performance muhimu iwe 64 bit CPU na iwe na GPU.
katika family ya intel kuna ambazo zina GPU na kuna ambazo hazina. Kazi ya GPU kwene computer ni kuipungzia CPU mzigo wa kuprocess graphics . So Video card inakuwa kama ina ka proccessor kake. Kwa maana hiyo computer yenye GPU inaongeza performce na inafaa kwa high qulility ghraphics ambazo ni resource hungry.

Technical specs and requireent za Adobe master Colleection C5.5 znaweza kukup mwanga.

Kwa mtazamo wangu Sio lazima iwe Mac unaweza kupata wa bei ya MAC PC ya windows nzuri amabayo inaweza kuhandle graphics kubwa kubwa bila shida.[/QUOTE]

Nashukuru kwa ushauri wako, nategemea kuanza na photoshop application then baadae plan ni kufanya video editing na animations kwa ajili ya websites.
 
Kwa mtazamo wangu Sio lazima iwe Mac unaweza kupata kwa bei ya MAC windows PC nzuri amabayo inaweza kuhandle graphics kubwa kubwa bila shida.

Heshima yako mkuu, maoni yako naona yanafaa lakini kuna kitu nilitaka kuongezea:

Hivi katika haya mambo ya ku-design graphics ni kitu gani cha muhimu zaidi katika upatikanaji wa end results nzuri, je ni - GPU au ni giga/tera flops za Microprocessor au applicaton programs za ku-design graphics zenyewe? Mimi katika maoni yangu kuhusu muhuliza swali ningemshauri kama ana jimudu kifedha basi he should go for MAC, ina aminika na ni kweli Steve Jobs alidesign hizi computer specifically kutoa grahics nzuri sana na watu wengi duniani ambao wako serious na kudesign wanakimbilia MAC, tukumbuke marehemu Jobs hakuwa mtu wa kawaida alikuwa na talents lukuki, na kama nakumbuka vizuri nadhani ndiye mtu wa kwanza kutoa full motion picture ya kwanza ya animation (digital that is) duniani na hizi ziko graphic intensive katika utengenezaji wake, lakini kwa mtu kama Steve kwake hilo lilikuwa kazi ndogo, utakuta kampuni nyingine zinazo hunda computer wana angahika na kuweka GPUs ambazo zina an independent DSPs kujaribu kuongezea kasi ya kuprocess na kutoa picha nzuri zikisaidiana na microprocessor, lakini Computer za Steve Jobs hilo alisha liona muda mrefu tu na kulifanyia kazi na kutoa kitu kinacho combine vitu vyote vitatu vinavyo fanya kazi seamlessly kwenye motherboard moja hakuna cha daughter board wala nini sijuhi, huyu jamaa alikuwa KICHWA SANA.

In short watu hawakimbilii computer za MAC bila sababu, wanajuwa huwezo wa Computer hizo katika mabo ya graphic design.
 
nahitaji kujua zaid kuhusu hili, apart from Mac ambayo walalahoi hatuiwez ipi nyingine inauwezo mzuri?
 
sorry mkuu kwa kuchelewa kujibu, nahitaji for both graphic n video, natumia adobe master collection

Jitahidi utafute laptop/desktop yenye processor ya intel na technology ya quicksync. Hii ni list yake

*.4th Generation Intel Core Processors with Intel Iris Pro Graphics 5200

*.4th Generation Intel Core Processors with Intel Iris Graphics 5100

*.4th Generation Intel Core Processors with Intel HD Graphics 5000/4600/4400/4200

*.3rd Generation Intel Core Processors with Intel HD Graphics 4000/2500

*.IntelPentiumProcessor 3558U/3561Y/G3220/G3220T/G3320TE/G3420/G3420T/G3430 with Intel HD Graphics

*.IntelCeleronProcessor 2957U/2961Y/2981U/G1820/G1820T/G1820TE/G1830 with Intel HD Graphics

Ila processor za 4th generation ndio zina power zaidi hasa zile zinazoishiwa na m kama hizi

i3 4xxxm
i5 4xxxm
i7 4xxxm

Hizo alama xxx inaweza kuwa namba yoyote.

Kama una budget kubwa itabidi utafute mashine yenye dedicated gpu za nvidia quadro hizi ndio zenyewe kwenye graphics design
 
Asante mkuu nimekupata vyema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom