Habari ya kazi wadau. mimi kuna software moja ya kumanage website inaitwa webmin. inafanya kazi kwenye linux environment sasa nataka nitumie kwenye window environment.. shida ni kama ifuatavyo
kwa jinsi ya kuinstall webmin yenyewe.. maana ni mtihani
but na mimi ni mhanga wa webmin.. sasa ukifuatilia installation guides za kwenye window unakuta zipo outdates and does not support some proxy server. sijui mkuu unanisaidiaje?? @Njunwa WamavokoNjunwa Wamavoko