godfrey_avya
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 131
- 24
Wakuu nilinunua simu kwa mtu ikiwa na tatizo la betri (haiwaki) baada ya kushughulikia tAtizo hilo nikawa nikiweka sim card inasoma kama bar moja la netwotrk kiasi ukiangalia salio inasema no network service baada ya muda inasema no service...niliambiwa kuset date and time lakini bado tatizo liko pale pale..msaada wakuu