Helo, Wadau Nime download game ya fifa14 for Pc kutoka pirate bay, nilipojaribu ku install inataka Registration Code...please naweza kuzipataje hizo code
Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupata special number ya tigo na voda kabla sijakwenda kwa wakala ili anitengenezee hiyo namba, ningependa niitafute mwenyewe kwanza kabla sijakwenda kwao.
Nina mdogo wangu,, amemaliza kidato cha sita juzi juzi tuu sasa ameenda jeshi.. Me and my sis tumeplan tumpe zawadi ya simu atakaporudi maana amefanya vizuri kwenye matokeo yake..
Tumekaa...
Habari zenu,natumia simu ya startimes planet 5,ni miezi mitano toka niinunue ila sasa hivi display inakwama kwama hlf kudownload vitu inachukua muda mrefu ipo slow,youtube ndio kabisa video...
STV 8172A , Vertical deflection IC.nimeitafuta hii IC hapa Arusha maduka karibu yote nimeikosa, limebaki duka moja tu sijaenda; sasa naomba anayeweza kuniambia Dar au moshi nitaipata kwa gharama...
Habari, ni matumain yangu mmeamka salama na wazima wa afya, nilikuwa naomba kujuzwa jinsi ya kuambatanisha hoja yako na picha. Kuattachment kunanisumbua sana.
Msaada wenu jaman
Prompt comes up with the Error 5 message Error5: Java.net. NoRmoute to Host Exception: No route to host: connect No SSL connection using given port Only TG port-6053 will not work. You can Try...
Jana nimeupgrade to w10, one thing that stands out clear ni hii browser mpya ya Microsoft Edge!!! Highlight, mark, make web note nk I love it already!!
Habari wakuu, kwenye kitambulisho chako cha kura upande wa kulia kuna QR code na barcode chini yako ambazo zina unique signature itakayotumika kukutambua wakati wa kupiga kura.
Inasemekana kuna...
The Edge team has been continuing to optimize performance since first adding the new browser to Windows 10. In this build, Microsoft Edge is even better and is beating Chrome and Safari on their...
habarini ndugu zangu wote wapenda muvi.....imepita wiki sasa application ya showbox katika simu yangu haidownload muvi yani server haileti option ya kudownload muvi....hii inaniumiza sana kwangu...
Habari wana jf? ? Naomben mnijuze maana nna week tena nashindwa kupakua applications na game katika google playstore na wakati niki download ina Error could not download this application due an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.