Brown ad
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 345
- 205
habari wana jamvi!! simu yangu ya Samsung s4 ilianguka na bahati mbaya ikaharibika camera yaan screen yake imevunjika kwaiyo nikipiga picha inatoka kama ina ukungu!! Kwaiyo nilikua naomba ushari je nibadilishe hii camera au niache tu maana nahofu baada ya kufunguliwa simu uenda ikaleta tatizo