Wadau, habarini za asubuhi?
Simu tajwa hapo juu inanipa shida lwenye kufungua picha.
Album ina picha zaidi ya.mia lakini zinafunguka 12 tu nyingine zinakataa.
Naombeni msaada wenu.
Ningeomba nielekezwe jinsi ya kutoa ela yangu ya AdSense endapo inakuwa tiari kwa ajili ya Kunifikia mimi ni njia gani zinatumika maana nimejiunga AdSense Karibu miez miwili imepita na sijapata...
Habari wadau!
Msaada kwa mtaalam wa hiz apple products..natumia iPhone5 ila huku nliko 3G haikamati (kijijini) so, iko slow sana kias kwamba hata tecno inaizid kwa speed sijajua kwann inakua hiv...
Habarini sana wakuu kama kichwa kinavyojieleza.Nilihangaika kwa takribani wiki 2 nikitafuta touch screen ya replacement ya hii tablet ya HP SLATE 7 HD sikufanikiwa kuipata kwa maduka ya posta na...
Habari Wadau,
Nina tafuta fundi anayeweza kutengeza sacket itakayo fanya kazi za PABX yenye port4, yaani niweze kuconnect simu za ndani kwangu, kupiga toka chumba kimoja kwenda kingine
Anipigie...
Wakuu salam.
Wakuu mimi sio mpenzi wa games kwa hiyo sijui zinapatikana wapi sasa kwa bahati nzuri au mbaya kwangu kuna watoto wa ndugu yangu wamenitembelea hapa likizo hii na wanataka games...
Waungwana habari za jumatatu polen sana na shughuli za kila siku
Waungwana ninaomba kwa yeyote anayefahamu kwa tanzania ni chuo gan wanatoa course ya SOUND MIXING ENGINEERING naikabidhi kwenu
wadau Nina ps3 hapa nimeboreka na CD nlizonazo natafta njia ya kuifanya ps3 yangu iweze kucheza pirated games iwe kwa disc za kuburn au hata USB, nawasilidha hoja ...... .
Wakuu ninaomba anayejua software ya kuweka kwenye simu/namna ya kujua alipo mtu kupitia number ya simu anielekeze.
Mfano : mtu yuko Mara lakini anakuambia yuko Songea naomba msaada plz. Anayeijua...
kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimeletewa sony expria Z1 na mdau wangu kutoka canada, tatizo ni kwamba nashindwa kuitumia kwa mawasiliano mpaka nitapo-unlock network.
Nimekwama, naombeni...
Wanajamvi nimehangaika sana kulichezea hili game AIR COMBAT ONLINE nimeshindwa mwenye maujuzi namna ya ku-hack hili game kuweza kupata gold na diamond...msaada tafadhali nawasilisha
Wanajamvi naomba msaada wa laptop(dell,os w7) ambayo inashindwa kuboot baada ya kuonyesha dell logo, ni kwamba haiwez kuendelea huwa inajirestart pasipo kuendelea, hivyo kwa mwenye ujuzi kwenye...
Tunaona matumizi ya powerbanks na matumizi ya simu kutumika ktk chaji yamekuwa mengi sana....
NADHANI TUTAKUWA TUMEONA HII HABARI.
Nini cha kuzingatia ktk hili swala?
Specs gani muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.