Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habar wakuu naomba msaada ma expert kwenye hili, nmenunua note 2 , tatizo nikiweka line ya tgo, alafu settings nikiweka WCDMA only network bar znashuka haraka, ila nikiweka GSM ONLY mtandao...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau naulizia Software au Utundu wa Kua attack/Hack Twitter Account na Instragram mwenye Ujuzi please Just ni PM tuu natanguliza shukrani CHIEF MKWAWA
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau ninataka kufungua website kwa ajili ya taasisi ninayo isimamia kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kudesign na kuitengeza anijulishe ikiwa ni pamoja na kunitahia bei niko Mkoa wa Morogoro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa nimeshangazwa kwa mara ya kwanza kuwa promptly na messeji kuwa Computer yangu ina conflict na IP address na mtumiaji mwingine... Nilichokifanya haraka niku retard computer. Je ndo hiyo...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Wakuu Simu yangu play store haipatikani" Facebook” yaani IPO "Facebook lite " tu sasa cjui ni tatizo au....... .je vitu hivi viwili ni tofauti ? Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimelock local disc c kwenye pc yangu, i can't access anything from it. Msaada namna ya ku unlock plz. Natumia window 8. 1
0 Reactions
1 Replies
825 Views
jamani naomben msahada kuhusu decoder ya eurobox hii decoder ina shika channel zote za bongo na nje lakn kama za ting niza kulipa naza continental zna skrachi nisaidien kwanin zna skrachi na nifanyeje
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mi ni kijana niliyemaliza kozi ya umeme mwaka jana na nina level 3,sasa natarajia kufanya interview ya kazi wiki ijayo nilikuwa naomba kujua uwa wanauliza maswali ya mtindo gani maana sijawai...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watengenezaji wa magari ya Audi, BMW, Ford, General Motors, Mazda, Mercedes Benz, Tesla, Toyota, Volkswagen and Volvo wamekubaliana na serikali ya Marekani kuwa magari yao mapya yote yatakuja na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Tunahitaji graphics designer ategeneze icon chache kwaajili ya project yetu. Weka bei na sample za icon ulizowahi kutegeneza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, nimeinstall vpn kwenye simu ya android lakini naona speed ya kudownload imekuwa ndogo sana kutoka 6 Mbps mpaka 98 Kbps. Nini tatizo wakuu? Sent from my ASUS_T00J using Tapatalk
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Naomba kuuliza...ukitaka kusearch specs za simu nyingi Google . ..the top search result huwa ni website inaitwa GSMArena.com...hii ni kama international database ya all mobile phones..isipokuwa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili,ninatumia simu aina ya Gowin m7,sasa tatizo nililokutana nalo katika simu hii no kwamba nashindwa kuwasha 3G katika simu yangu hii. Naamini JF ni sehemu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu inatatizo la kuzima screen wakati wa kupiga/kupokea simu, nashindwa hata kukata simu pindi nnapokuwa nimepiga au kupigiwa msaada tafadhali kwa wenye maujuzi, natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Sijui kama kuna mwingine ashapatwa na hili janga? Kuna app niliinstall from unknown ni mara nyingi nafanya hivyo, sasa simu imekuwa ina pop up full screen ad ya adchoice kila mara, nime-wipe simu...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar wadau Naomba kujuzwa; Ili kuboresha uhai wa betri ya Laptop kutoka kampun yeyote ile. E.g. Hp, Dell, Toshiba, Lenovo n.k Yafaa kuchaji laptop kwa masaa mangap?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta software ya free downloading, inayoconvert videos to dvd. Maana nimejaribu convert x to dvd 5 inakuwa trial. Ipi ni nzuri afu ya bure?? Si mnajua wabongo wengi kulingan na hali mbaya ya...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Wapendwa Kuna mtu amenijia kwenye ofisi anataka kuniuzia Galaxy Note 3 Mimi simfaham ila amejitambulisha kuwa kaka yake anafanya biashara ya kwenda Dubai. Simu yenyewe ni mpya kabisa wala haina...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Naombeni Msaada tafadhali, ni TECNO H6! Ahsante
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Best News here: Router-Switch annouced 60% off big discount of Cisco ASA5525-K9 5500 Series Firewall Edition Bundle offers outstanding network protection along with excellent performance and...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Back
Top Bottom