Habari zenu wanajukwaa wenzangu, shida yangu ni moja, nimeletewa simu aina Tecno Y4 ambayo ime-corrupt software, sasa lengo langu ni kutaka ku-factory reset.
Hatua1. niliyofanya niku-bofya Volume...
Huwezi kuacha kumtaja HTC pale unapoongelea wabunifu bora wa smartphones. Lakini kuna jambo moja ambalo linamnyima raha sana, na ni dosari kwake. Inaonekana ya kwamba anajitahidi kila awezavyo...
Mambo vipi wadau nlijua nina plan ya kununua laptop.....matumizi makubwa ntakayokua nafanya ni Gaming(playing pc game)
Sasa ningeomba perhaps specification ambazo uangalau zitakua poa for gaming...
Namtumia tecno h6 ila hili lisimu nikiongea hata dk 10 Sim inashika moto... Sometimes inabidi niweke loudspeaker.... Pia mwanzo nilikuwa naweza login TCU ama heslb na ndo Lili kuwa lengo la...
wakuu ina wezekana kuficha data into audio file alafu ukaweza kuzi import katika device yoyote mtu aki access hiyo device anaona audio tu sio zile data ulizoweka je inakuwaje hii kitu.....
Habarini nyote.
Hope you are okay. Well, kama tunavyojuwa kuwa ukitaka ku-download/ku-update apps via PS huwa mpaka umalize app 1 ndio uchukue nyingine.
Kuna njia ambayo inawezekana kuitumia...
Wakuu habari za saa hizi, Mimi mwenzenu kuna mtu alitoka nje (Netherlands) akaniletea external HDD ya samsung model no. NM-0810 ambayo ni 1TB ambayo hata nilivyoichomeka kwa Mara kwanza kwenye PC...
Wataalam hivi suppose mtu uko Tanzania na unataka uweze tazama channel ambazo
ni za lkulipia za Europe mfano complete channelz sa skytv ya UK
zote ..skymovies skysports....na channel za Ufaransa...
Simu yangu ni nokia xl ila inakataa kuinstall whatsapp app.nikiidownload inakubali nikiifungua inataa kufunguka inaniandikia kuwa niunstall whatsapp nidownload tena ila nikifanya hivo tatizo...
Wadau habari za majukumu kuuliza si ujinga kunajamaa yangu yuko na iphone 6 plus kinachonishangaza ni intenal storage mi nimekuwa nikijua kwenye six plus kuna Gb 16,64 na 128 hii 32 sijawahi...
Hi wana IT nina Ndugu yangu anatumia blackberry curve sasa ile button ya katikati ya kuserch imestuck ivyo kama anataka kusearch jina la mtu ili ampigie simu hawezi wala kusearch kitu chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.