Masaada Wana Technolojia wa Jamii Forums.

Masaada Wana Technolojia wa Jamii Forums.

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,716
Reaction score
15,538
Wadau naulizia Software au Utundu wa Kua attack/Hack Twitter Account na Instragram mwenye Ujuzi please Just ni PM tuu natanguliza shukrani CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
ingekuepo hio software twitter isingekuwepo wangeshafunga kazi zamani tu.
 
Unadhani hacking/attacking accounts ni kitu ndogo kama kugoogle jina la demu wako...:twitch:..
 
Kuna kipindi nilisikia Facebook na Instagram zimehakiwa hii ilikuwaje hii mkuu Chief-Mkwawa
Website yoyote inaweza kuwa hacked lakini si kirahisi kama tunavyodhani.

Mfano wachina walihack website za marekani kwa kutumia university nzima yenye mamia kama sio maelfu ya watu tena hapo utakuta wana vifaa na software za kisasa ambazo mimi na wewe hata kuziona hatujawahi
 
Last edited by a moderator:
Ni rahisi sana kula account za wabongo, lakini piga ua njia sikupi... Najua unataka kumchokonoa mdada wa watu
 
Kitu ambacho nimegundua Ni Uvivu wa Watanzania wa Kufiri watu wanapiga Bank accounts sembuse Account ya twitter ya mtuu tujifue tuko nyuma mno Kujadili issue za simu ndiyo tunaweza.
 
Back
Top Bottom