VPN inaathiri speed ya kudownload kwenye simu?

VPN inaathiri speed ya kudownload kwenye simu?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Wakuu, nimeinstall vpn kwenye simu ya android lakini naona speed ya kudownload imekuwa ndogo sana kutoka 6 Mbps mpaka 98 Kbps.

Nini tatizo wakuu?

Sent from my ASUS_T00J using Tapatalk
 
Kama vpn ina server ambazo zipo slow jibu ni ndio, vpn ndio imesababisha speed kupungua
 
Back
Top Bottom