mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Mi ni kijana niliyemaliza kozi ya umeme mwaka jana na nina level 3,sasa natarajia kufanya interview ya kazi wiki ijayo nilikuwa naomba kujua uwa wanauliza maswali ya mtindo gani maana sijawai fanya interview ya kazi hii ndo mara yangu ya kwanza