Ninahitaji kufungua website, natafuta web designer

Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,252
403
Wadau ninataka kufungua website kwa ajili ya taasisi ninayo isimamia kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kudesign na kuitengeza anijulishe ikiwa ni pamoja na kunitahia bei niko Mkoa wa Morogoro
 
Wadau ninataka kufungua website kwa ajili ya taasisi ninayo isimamia kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kudesign na kuitengeza anijulishe ikiwa ni pamoja na kunitahia bei niko Mkoa wa Morogoro

We can help you to build a website that suits your needs, for more info I am sending you a pm.

You can as well contact us by visiting our website, http://*****.com.
 
Back
Top Bottom