Nashindwa kuwasha 3G kwenye simu ya Gowin m7

Nashindwa kuwasha 3G kwenye simu ya Gowin m7

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili,ninatumia simu aina ya Gowin m7,sasa tatizo nililokutana nalo katika simu hii no kwamba nashindwa kuwasha 3G katika simu yangu hii.

Naamini JF ni sehemu sahihi,kwa yeyote mwenye uelewa was jambo hili naomba anisaidie.Natakuliza shukran zangu kwenu wakuu na watumiaji was jukwaa hili
 
masimu yote ya gowin kwa 3G ni shida tupu. jaribu simu nyngne,, hayo ovyo sana!!!
 
Pole nunua nyingine tu.iyo kahonge tu mkuu

Kama kitu hujawahi kitumia au huna ujuzi nacho niheri ukakaa kimya kuliko kutoa majibu mepesi kana kwamba hili jukwaa umevamia sio mwana technology.
Ndugu mtoa mada hebu jaribu ku uliza google kwa kuandika model ya simu yako na shida yako mfano how to turn on 3g on gowin m7 au utakavyo ona wewe then pitia majibu. Maana binafsi mm sijawahi sikia hiyo simu.
 
Back
Top Bottom