Peleka kwa fundi sensa itakuwa mbovu wakaibadilishe au kuitoa kabisaSimu tajwa hapo juu inatatizo la kuzima screen wakati wa kupiga/kupokea simu, nashindwa hata kukata simu pindi nnapokuwa nimepiga au kupigiwa msaada tafadhali kwa wenye maujuzi, natanguliza shukrani.
Simu tajwa hapo juu inatatizo la kuzima screen wakati wa kupiga/kupokea simu, nashindwa hata kukata simu pindi nnapokuwa nimepiga au kupigiwa msaada tafadhali kwa wenye maujuzi, natanguliza shukrani.