habari wanajf. mm npo tegeta na nimgen kdogo wa maeneo, nina iphone yangu imepasuka kioo naomb mnisaidie kwa mtu anayejua fundi mzur na gharama zikoje za kurekebisha.
Habar Wakuu, Kuna Rafik Zangu Nawaona Wananipgia Simu Wakiwa Hapa Tz Kwa Kupitia Namb Za Nje Na Hawajawah Kwenda Huko
Mara Nyingine Haiji Namba Inakuja Jina Tu Hata Kama Ni Kwenye nokia Toch...
mi siomtaalam sana wa haya mambo. naitaj kununua cm lakin cjajua hip n bora kulingana na chaguo langu kati tecno h6 na huawei y600 n hip ninunue?.napenda kukarbixha maon yenu wataalam.
Habari zenu wakuu. Jana usiku nilimuachia mtoto simu baada ya kurudi nikakuta simu imejilock na inaandika PLEASE ENTER THE PRIVACY PROTECTION PASSWORD/PIN.
Nimejaribu kuweka PIN ninayotumia siku...
poleni na majukumu wanajamii,samahani ninaomba kama kuna maujanja jinsi yakuondoa namba ya siri kwenye simu aina ya huawei y330 nikiweka line one inaniambia inter pin,msaada naomba wadau.
Naombeni msaada wenu wadauu!!
PC yangu inasumbua ku turn on wireless connection, inaonesha tu wi-fi (off).. nikijaribu kuiclik ili iwe on inashindikana.. sijajua tatizo ni nin au...
Wakuu habar,nahitaj msaada kwa mfano nimenunua cm online kupitia ebay hiyo cm nitaipolea wap?? Au nakua najaza kabisa sehem ambayo nitapokelea?? Mfano kama ni posta au bandalini??
Tablet ya lenovo nashindwa namna ya kuseti internet na haisomi sim card nikienda ktk network setting naona VPN , GPRS na wireless nashindwa la kufanya ili nipate mawasiliano...kuna mtu kaniletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.